Oyaaaa...ebu uko naona njaa imekuzidi mchana huu kapate lanchi kwanza!
Kizuri lazima ugharamie sasa unataka tu mtelemko! mttoto mwenyewe mshiki!? wapi na wapi!
Ukivulia nguo maji shurti uyaoge
habari ndo hiyo
ON a serious note harusi imeshaisha hiyo acha presha!
dah!hahaha Geoff hakijaaribika neno bwana wee endelea harafu harusi ikiisha unaanza kurudisha madeni kwa watu ,,unaweka diary this time naanza na Nguli anayefatia ...Masaki ..mwezi wa saba FL1 wa kumi na mbili Kaizer january 2011 Chrispin may Carmel new year MJ1 benk yenyewe inadaiwa
Tuko pamoja G
sasa mpwaa ungenishtua mapema ili nijue kwamba niyaoge au ninawe...pengine nisingeyavula nnguo,labda ningeamua kunawa tuOyaaaa...ebu uko naona njaa imekuzidi mchana huu kapate lanchi kwanza!
Kizuri lazima ugharamie sasa unataka tu mtelemko! mttoto mwenyewe mshiki!? wapi na wapi!
Ukivulia nguo maji shurti uyaoge
habari ndo hiyo
ON a serious note harusi imeshaisha hiyo acha presha!
Oyaaaa...ebu uko naona njaa imekuzidi mchana huu kapate lanchi kwanza!
Kizuri lazima ugharamie sasa unataka tu mtelemko! mttoto mwenyewe mshiki!? wapi na wapi!
Ukivulia nguo maji shurti uyaoge
habari ndo hiyo
ON a serious note harusi imeshaisha hiyo acha presha!
sasa mkuu unaniambia haya mambo leo wakati tayari nimeshawaka...........!lolzsikuwahi kufikiria kama harusi ni ngumu kiasi hichi!I AM FINISHED MY PEOPLE"Then said Jesus, "Father, forgive them; for they know not what they do ..."
Mambo yatakayokufanya uiheshimu ndoa yako ni pamoja na kasheshe za kimapato zinazoendana na wedding, however check haya na yatakutia moyo:
1) Ndoa ni mpango wa mungu kwa mwanadamu (hata ingekuwa ya mkeka?!)
2) Women ar too costly (imagine to get just one, makes your head spins, how about nyumba ndogo and the likes?)
3) Kama umempenda kiasi cha kutojali gharama in the first place, she is a qeen - there is a place in your heart that is no more your
4) whenever you think of Kudumisha MILA, reffer to #2
3)
Jamaa kazoea vya bei nafuu!!!!! Sorry kwa kuingilia mada.
sasa mpwaa ungenishtua mapema ili nijue kwamba niyaoge au ninawe...pengine nisingeyavula nnguo,labda ningeamua kunawa tu
Ohhh..God, iam sorry!
I thougt you knew the real costs?
Mbona ulinambia shemeji hana macomplikesheni Broda?
Too Bad...anataka nini tena huyo?..anataka umpe gari kwanza?..what for?
Mi nikiwa naoa wakati huo sikupenda magari kabisa, maana sikupenda kufika haraka mahali nikiwa na mchumba wangu, huku tumeshikana mikono!...huh!
Anyway, usiogope, panapo wazee hapaharibiki kitu, we shall review the matter, lakini kuoa kupo palepale, na tarehe siibadilishi, maana tayari paroko ashaandaa kila kitu.
Be corageous broda, hata mimi nilikuwa hit-hard hivohivo, lakini kiugumu unakaukia..si unajua KIUMENI? huh!