You know you live rent free.....

sa huko si nitapotea zaidi?
ngoja nianze na british kwanza..maana huyu na kiranga wananipaga tabu kuwaelewa

Na siku ya kwanza tu BC naomba nipatiwe list ya maneno magumu magumu kabla ya ...this is an apple....
 
So sad when you hate and your own heart betrays you...you loose control of your own mind and thoughts keep wondering to the forbidden lands...yielding nothing but bitterness and grudge. Harboring an unsuccessful vengeful missions.
And when all those thoughts go away you are left with nothing to think about and out of boredom you slowly go back to those harmful thoughts and ill fated ideas!! What a torture this world bring sometimes
 
Mbona huu uzi una masaa matatu lakini hautembei, kuna nini hapa?
 
hahahaahaa..
utatembeaje wakati Nyani Ngabu na mwenzake Karucee ndo wanaoutembeza, wengine tumekaa majukwaa ya yanga na simba, lool

Usilete masihara na hii lugha ya malkia.
Kutema yai sio kazi ndogo na hizi seinti serikali zetu hizi.......!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nilijua mie tu kumbe tumo wengiii hshhhha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…