Hapo tunajifunza kuwa matatizo katika safari ya maisha ni MWALIMU wetu!...yanatufunza, hivyo tusiyakwepe.
Ukitaka kuishi 'problem-free", basi ujue utakutana na hali mbaya sana huko mbele ya safari, na utakwama jumla!
Thank you mleta mada- u hv tought us something!