Njema sana, nakumis!Kwema wii... Habari yako?
Njema sana, nakumis!Kwema wii... Habari yako?
Nakumiss piaa wiiiNjema sana, nakumis!
Siku zote chizi humuona mzima ndio chizi,nadhani utakua umeelewa sasa.Mjinga anajiona mjuaji huyo achana nae. Katika wote waliopitia hii thread yeye ndio ameona imekosewa.
Mjinga ni wewe uliyeleta mada ya kijinga,umetoa mfano mmoja tu wa Moi kisha ukiulizwa maswali unakua mkali coz huna uwezo wa kuitetea mada yako,chukulia mfano mmoja tu wa Robert mugabe ameoa,je ana umri gani sasa? Hivi unadhani kinachowapa stress wanaume duniani ni ndoa tuu? Umeleta hiki ki thread chako kwa kukurupuka hovyo tu kama chafya!Mjinga huyo usipoteze muda.
Wewe dogo hujielewi,rudi nyuma kasome comment yako #20 wewe mwenyewe umelalamika kua watu wengi hawakuielewa hii mada yako!Mjinga anajiona mjuaji huyo achana nae. Katika wote waliopitia hii thread yeye ndio ameona imekosewa.
Wanawamaliza waume zao kwa stress
Nikitoka lunch nitakuja kusoma, nime-like tu.Najiuliza tuu, hivi wanaume hamuwezi kuzipuuzia stress zinazoletwa na wanawake? Ili nanyie muishi miaka mingi?
Au laah ikishindikana kabisa let's refer to the bible on 10 commandments; one say, waheshimu baba yako na mama yake upate heri na miaka mingi duniani.... labda wanaume waanze kupractice hii amri ili hata wakiingia kwenye ndoa was ife haraka kutokana na stress za wanawake Zao.
Najaribu kuwaza namna ya kuwapunguzia umauti in and out of marriage; take in note that am on women side and women likes wedding ceremonies but can not live marriage life..... only and only if you have money to gave her to whatever amount she request and you never ask her anything yet don't chepukaring......
Aaahahhaahhqhqqaaahahahhaaa mkiweza kuishi maisha hayo kwelii kuwa umetafuta hela weeeh halafu unampa tuu mkeo kiasi chochote atakacho na walau humuulizi amezitumiaje yuko wapi na anafanya nini na nani aahahahahaa lazima mfe looh.
Ila kuna usemi unasema; wanaume mmeumbiwa mateso na kuhangaika. Poleni mwaya, no wonder wanaume wavivu na wasiotaka shuruba wanajigeuza na kuwa mario hatimaye mashoga...... so bad...
Yote hayo yamenijia tuu kichwani kila nnavoandika vinateremka naandika.... no offence to anyone.
Above all, msiishie kututamani tuu mtu mtupende pia maana tu wazuri macho ni pen siku zote. Kale kaharufu ka K huwezi kukapata kwa shoga. .... eeeh ngoja niche kuwaza maana maneni hayaishi.
Kasie Mambo Mengi.
Nikitoka lunch nitakuja kusoma, nime-like tu.
Kasie nilichobaki nacho kichwani hapo ni kaharufu ka K tu...umenipa matatizo ndio maana tunakufa mapema!
Naonna Friday Mode Activated...TGIFJamaniii double R, nini tena Kasie mie nimefanya. .....
Matatizo yepi tena wakati mie nasubiria ile senega-scene.....
Hayo matatizo yaambie watoto wa mwalimu Ndosi huwa hawadhuriani....
Kuhusu harufu ya K sina wasiwasi na wewe.... my instincts trust you.
Naonna Friday Mode Activated...TGIF
Oh...i thought...Thank God Its Fridaaaaayyyy