You are who you draw!

Hiyo picha imechorwa na mtu lakini ndani ya picha inaonesha mtu aliyechorwa anajichora mwenyewe
Na hata elewa kamwe! Maana umeelezea picha hujatafsiri!!!!
fundi bishoo hiyo picha inaelezea kuhusu mtu vile anavyoweza kujionyesha tabia zake,Mambo yake mbele ya watu wengine. Kwa tafsiri nyengine ni mtu anavyojichukulia ama anavyojitengeneza ndivyo atakavyoonekana ktk jamii.
 
Kuna funzo zuri kwenye picha hii japo naona watu mnajadili picha tu..nilivyoelewa mm kuhusu picha..
  • Future yako/Hatima yako ya mafanikio iko mikononi mwako kwa jinsi utakavyoijenga leo yako.
  • Unaweza kujishape ukawa mzuri kitabia na matendo vile wewe unavyoona inafaa.
  • Hatima yako ipo mikononi mwako.
I'm Low latent exhibition
 
maelezo mazuri
 
hapo sasa nmekuelewa mkuu maana nlikua hata sijaelewa mwanzo
 
Hapa nimekuelewa kaka mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…