Hiyo picha imechorwa na mtu lakini ndani ya picha inaonesha mtu aliyechorwa anajichora mwenyeweSjaelewa
Na hata elewa kamwe! Maana umeelezea picha hujatafsiri!!!!Hiyo picha imechorwa na mtu lakini ndani ya picha inaonesha mtu aliyechorwa anajichora mwenyewe
Sjaelewa
Kuna funzo zuri kwenye picha hii japo naona watu mnajadili picha tu..nilivyoelewa mm kuhusu picha..
I'm Low latent exhibition
- Future yako/Hatima yako ya mafanikio iko mikononi mwako kwa jinsi utakavyoijenga leo yako.
- Unaweza kujishape ukawa mzuri kitabia na matendo vile wewe unavyoona inafaa.
- Hatima yako ipo mikononi mwako.
hapo sasa nmekuelewa mkuu maana nlikua hata sijaelewa mwanzoNa hata elewa kamwe! Maana umeelezea picha hujatafsiri!!!!
fundi bishoo hiyo picha inaelezea kuhusu mtu vile anavyoweza kujionyesha tabia zake,Mambo yake mbele ya watu wengine. Kwa tafsiri nyengine ni mtu anavyojichukulia ama anavyojitengeneza ndivyo atakavyoonekana ktk jamii.
Hapa nimekuelewa kaka mdogo.Kuna funzo zuri kwenye picha hii japo naona watu mnajadili picha tu..nilivyoelewa mm kuhusu picha..
I'm Low latent exhibition
- Future yako/Hatima yako ya mafanikio iko mikononi mwako kwa jinsi utakavyoijenga leo yako.
- Unaweza kujishape ukawa mzuri kitabia na matendo vile wewe unavyoona inafaa.
- Hatima yako ipo mikononi mwako.
Ahsante sana dada mkubwa ✌✌✌Hapa nimekuelewa kaka mdogo.