You are Right BASHE

Chiligati alisema''BASHE SI RAIA'' na hawezi kupitishwa kugombea ubunge. Selelii kapoteza mvuto kwa wananchi. Kigwangala ndo atakuwa mgombea wetu wa Nzega.

Mkuu ulisharudishiwa uraia halafu umeanza vita ya mawe wakati unakaa kwenye nyumba ya vioo tena ya ghorofa inayomilikiwa na CCM?
Angalia wasije wakaku Abunuwasi. Watabomoa nyumba yao ya chini ili ubakie juu peke yako
 
ngoja niwape mistari ..... usoni kama watu moyono hawana utu imani imetoweka mabaya yanaongezeka........kwakweli kama unakipenda chama cha magamba utakua una upungufu fulani wa homoni za akili,maslahi ya wachache mbele na wananchi hakuna haja ya kuwafikilia mnajilipa kwanza,maslahi ya wale waliotuingiza madarakani kwanza mfumuko wa bei,mikataba mibovu etc ili mlipe fadhila....daaa inauma sana,INFACT I HATE CC...MALIZIA MWENYEWE.PEOPLE'Z POWEEEEEEEEEEEEEEEER.:A S 39::A S 39:
 
Hivi nielezeni hii theory ya makundi na kushindwa. Hivi mpiga kula anawezaje kutokelwa na matatizo yanayomkumba afu akelwe eti na makundi. Ushauri kwa CCm mkiendelea na upofu huu wa kutoona nini hasa matatizo yenu KUFA KITAKUFA HAKIKA chama chenu.Sio shabika wa chama lakinim nimpiga kura mwenye busara. Jaribu kujitahidi kuamini kuwa watanzania wanaelewa sana.
 
Hiyo ni indicator ya kuwang'oa Magamba 2015 kwani vijana wote wa umri wa miaka 15, 16, 17 na 18 ambao hawakupiga kura 2010 wote watakipigia chama cha magwanda. Walioipah ushindi CDM Arumeru ni wale waliochoshwa na Magamba.
 

Bashe ukiambiwa si mtanzania unasema majungu lakini kiswahili chako kina matatizo, unaweka nukta hata neno hujakamilisha, lakini kuwa jasiri hamia cdm au anzisha chama kungangania ccm watakuja wakupe poloniam bure
 
Ukweli watu wamesema mengi sana na mazuri,napenda kuhuliza bashe nikiwa nalengwa na machozi ........1.angeshinda sioi kwa uchakachuaji ungesemaje? 2.unaona ccm inawatendea watanzania mema? 3.nini kilikusukuma kuingia ccm? 4.nchi gani inafanana na tz ulimwenguni?(elimu mbovu,hakuna viwanda,umaskini juu,maliasili kibao,demokrasia zero,nk) ...........................................................................................kwa kweli bashe unadharau sana kwa wa tz waliokwama bora urudi kwenu,hatutaki pongezi zako za kinafiki wakati ulichanga pesa za uchakachuaji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…