You are not my type??

Hata akiongea kabinua midomo kama beberu hajakushusha au kukudhalilisha?
 
ukiambiwa hivyo we jua tuu upo bellow yeye kwa standards, sasa hiyo ya kujipa matumaini kuwa labda wewe ni bora zaidi ni invalid jombaa
 
umeona ee!
akihisi kupwaya hawezi kusema, ataonesha unyonge, wala hawezi kuwa na ujasiri wa kutoa kauli hiyo!
na hayo ni majivuno, mwisho wake ni kugawa papuchi mpaka inakuwa infecded
 
Ni kweli kabisa Bro..Mungu ana njia nyingi za kumuokoa mja wake!
 
Kweli umesema ... Dont regret or never shame yourself on that... Unakuta bado upo on point [emoji108]
 
Ni nani amekuambia ivyo nkam mkanye
 
Mi nimewahi kumuona mdada kamvuruga jamaa aliyemzimikia mambo hayo ur not my type. Lkn huwezi amini akudate vijana kadhaa mwishowe jamaa yuleyule aliyeambiwa ur not my type ndo kamuoa kamuweka ndani kamzalisha watoto
 
True
 
Hahaha jamaa ni kidume haswaa, na ametuwakilisha vyema
 
ukiambiwa hivyo we jua tuu upo bellow yeye kwa standards, sasa hiyo ya kujipa matumaini kuwa labda wewe ni bora zaidi ni invalid jombaa
Inamaana haujikubali alafu unataka ukubaliwe??
Wewe una haki ya kutoswa na kupigwa kubuti kikali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…