You are a best loser

You are a best loser

geniusMe

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
1,312
Reaction score
1,786
You are a best loser

kuna jambo kidogo ningependa kuwashirikisha wana kidogo, binafsi nimekuwa nikipata faraja kuona wana wakifanikiwa katika mambo yao , lakini leo nataka kuwaambia wana kwamba sometime mnaweza kuona kama mmefanikiwa lakini mmefeli pakubwa nikimaanisha you are a best loser aka ume-win lakini umeshindwa

Moja kwa moja twende kwenye maswala ya mahusiano, kuna wanaume wengi ambao wamefanikiwa kuwa na wapenzi ambao wao waliona wanafaa na wanastahili kuwa nao, kwa kuwa sisi wanaume ni watu wa logically sana huwa tunaangalia vitu kadhaa kama ishara ya kujihakikishia kwamba tumepata ushindi, kumbuka sisi wanaume tunafikilia kwa kutumia logical sense it means tunapima input na output ambayo tunaweza ku measure then kujipatia jawabu kama tumefanikiwa au tumeshindwa,

Mfano wanaume huwa tunahesabu tumefanikiwa sana baada ya kutembea na demu, kumpa mimba, pale ambapo tunafanikisha kumuoa mwanamke ambaye tulidhani yeye anaweza kuwa kila kitu kwetu, kwa kuwa hapa tunaweza kuona matunda ya jitihada tulizofanya, mara nyingi huwa tunajipa ushindi moja kwa moja, leo hii nataka nikukumbushe tu inawezekana ukaona kwamba umeshinda lakini umefeli pakubwa sana.

Moja ya swala gumu sana mwanaume kuelewa na kukubali ni kwamba mwanaume ni prize, japokuwa sisi wanaume tunatafuta na kutongoza wanawake lakini kuwa mwanaume ni jambo kubwa sana ambalo hilo tu linatosha kukufanya kutembea kifua mbele popote unapoenda, lakini kumekuwa na wimbi kubwa la wanaume wanaojiona wadhaifu, hawa ni kundi lile ambalo wanaona mwanamke na bila hata ya wao kumfahamu ghafla wanampa credit na thamani kubwa wakimuona yeye kama tunu, huku wakishindwa kutambua thamani yao binafsi, aina hii ya wanaume target yao kubwa ni jinsi gani wanaweza kumpata huyu demu ambaye wao wanadhani ni malaika na kila kitu kwao.

Baada ya jitihada kubwa sana ambazo hufanywa na hawa jamaa baadae hufanikiwa kumpata huyu bibie , hapa huanza kujiona vidume na kutuna, huanza kujiona wao ni watu wa thamani kubwa baada ya kuwa na huyu bibi dada , yani thamani yao binafsi huwa inatokana na vitu au watu wanaofanikiwa kuwapata, wanaume hawa huwa tayari kufanya jambo lolote lile kuhakikisha kwamba wanampatia furaha huyu mwanamke, wanaume hawa wanaona nafasi yao kubwa wanayoweza fanya ni kumtimizia mahitaji yote huyu mwanamke ilikuendelea kubaki hapo

Moja ya swala wanaume wengi wanashindwa kutambua, mwanamke hata siku moja hawezi kumtamani aina hii ya mwanaume au kudumu nae, aina hii ya wanaume wanashindwa kutambua kwamba mwanamke anahitaji mwanaume anayeweza kumuweka kwenye mstari, mwanamke anahitaji mwanaume kichwa, mwanaume kiongozi mwanaume msimamo, mwanume mwenye dira, aina hii ya wanaume sio wanaume wale wanaotazama kumpata mwanamke fulani kana kwamba kunawapatia wao thamani kama watu, au kwamba wao sio kitu chochote bila uwepo wake, wanashindwa kutambua kwamba, mwanaume unahitaji kuwa grounded before, baada na milele ilikuweza kuhimili kuwa na mwanamke.

Kutokana na maendeleo na hali ya maisha tunayoishi hii leo kumekuwa na mchanganyiko mkubwa wa mienendo kati ya wanaume na wanawake hii imepelekea wanaume wengi kupoteza hali ya uthubutu, siku hizi kuna wanaume wanamuonekano wa kike wanatabia za kike, ni vigumu kuweza kuwatofautisha na kundi la wakina dada, aina hii ya wanaume they dont have a sense of purpose, they are not grounded, ni vigumu sana kwa aina hii ya wanaume kuweza kumnyoosha mwanamke kuanzia tabia, mpaka katika swala la sex.

Sisi kama wanaume ni waanzishaji waelekezi na watawala, katika nyanja mbalimbali za maisha anachohitaji mwanamke ni kuwa controlled kidogo tu, kuwekwa kwenye mstari, hapa ndipo unapokuja ugumu wa aina hii ya wanaume wanaotazama kwamba wamefanikiwa kuwa na aina fulani ya wanawake , sababu aina hii ya wanaume wanashindwa kusimama kwenye mstari wao na mara nyingi wanakuja kuwa victim wa female manipulation, wanawake wanawatumia kwa faida yao binafsi.

Inashangaza siku hizi watoto wa dogo wakike wameanza mapema kuwa na uthubutu wakuwatumia na kuwadanganya wanaume, wanawake wanawahi mapema kutambua thamani yao wakati wanaume wanabaki kuwa reactive, matokeo yake siku hizi wanaume ndio wanawekwa kwenye mstari na wanawake, wanawake wanachagua aina ya mwanaume wanayemtaka wanamfanya ajione kwamba amefanikiwa sana kuwa na yeye then mwanaume anaanza kutengenezwa.

Je unawezaje kutambua kama wewe ni moja ya kundi ambalo wanadhani wamepata demu, mke au mpenzi kumbe wamepatikana na wamekamatwa? Ukiona umeanzisha uhusiano na mwanamke lakini mambo yafuatayo yanajitokeza fahamu kwamba si wewe uliyempata huyo demu bali yeye ndiye aliyekupata nakwamba kuna namna fulani ambayo yeye anafaidika na uwepo wako ndio maana yupo hapo, lakini wewe binafsi hauna mchango wowote katika maisha yake na furaha yake isipokua kile wewe unachochangia kwake.
  • Hauna nafasi yoyote katika maamuzi
  • Hataki mfanye mapenzi, mpaka atakapo fanya yeye maamuzi
  • Hajali nini unafikiria wala utafanya, lazima afanye anachotaka yeye.
  • Anakupa ahadi ukifanya jambo fulani nitakupa sex
  • Anakufanya wewe kuwa mnunuaji wa vitu kwa ajiri yake.
  • Ana chat na wanaume wengine na kuwapatia attension
  • Hana wivu hata kidogo kuhusu wewe
  • Hata siku moja hawezi kuanzisha swala sex (hana hisia na wewe)
  • Anajua hata akikukosea utamsamehe tu
  • Ana amini hauna na hauwezi kuwa na demu au mwanamke mwengine
  • Anakufokea
  • Hakuheshimu hata kidogo
  • Hana heshima kwa rafiki na watu wa karibu zako
Kuna tofauti kubwa sana namna hama jinsi wanawake wanavyotazama swala la mvuto katika mahusiano na jinsi wanaume tunavyolitazama swala hilo, mwanamke katika mahusiano anahitaji ku feel desired lakini mwanamke anapokuwa amekuweka mkononi mwake anapoteza mvuto kwako kabisa, ili mwanamke ku- feel desired unapaswa wewe kuwa challenge kwake maana nyingine mwanamke anapenda mwanaume ambaye wanawake wengine wanamtamani, mwanamke anatamani kuona kwamba unaweza kuwa na wanawake wengine lakini umemchagua yeye, anahitaji kujihisi upekee, tatizo la wanaume ambao wanafanya mambo ilikupendwa na wanawake zao mara nyingi wanadhani wanafanya kuongeza upendo kwa wanawake zao lakini mara nyingi swala hili huchukuliwa tofauti kwani wanaume hawa huvuka mipaka na kuwa na obsession, wanaume hawa hawana tofauti na wanaume wanaulipa pesa kupata ngono japokuwa unatoa pesa kupata ngono jambo hilo alikufanyi malaya hakutamani wala kupata mvuto kwako,

Jambo moja wanaume wengi wanashindwa kutambua, huyo demu wewe unayemuona malaika anatoa nauli yake kwenda kulala na mwanaume wakati wewe anakuomba nauli, huyo demu anahisia kubwa sana ya ngono zaidi ya wewe unavyodhania, tena amefanya mambo mengi ya ngono zaidi ya wewe unayoweza kufikiria, huyo demu anaupande wa pili ambao wewe huwezi jua sababu wewe sio mwanaume kamili, you are a people pleaser hauna guts, kuna mambo mengi ambayo anahitaji kufanya lakini sio na wewe sababu wewe hauwezi kufanya nae, you are avoiding confrontation unamuona yeye ni malaika lakini si kweli, habari mbaya kwako kuna wanaume wanaomshugulikia na wala wewe hauwezi amini maana unamuona yeye malaika, hivyo chagua mwenyewe ni aina ipi unataka kuwa, kupata mke, demu au mchumba sio kwamba umepata vyote, inawezekana umepata lakini still umepatikana kama wewe hautakua chanzo cha furaha ya huyo bibi utaishi kutumika tu, katika kutimiza mahitaji au unaweza kuwa that guy ambaye anafanya nae kila aina ya michezo
 
Kizazi hiki cha kiiume hadi aibu. Unakutana na mwanaumein the first place anaanza kukupeleleza material things.

Yaani baada ya kuangaika na kujua tabia ya huyo mwanamke,, swalli la kwanza::-ikiwa mwanaume amempata mdada kupitia kwa mtu,

1:huyo dada ana kazi gani?🙄🙄
2. Anapata sh ngaapi mshahara??🤭🤭

Akishajua hayo ndo anaanza ndo anauliza appearance, .umri, elimu. Hii sina shida nayo kabisa.
Nyie viumbe mmnaangalia maslai mmekuwa watoto wa kike? Mwanaume uliza material things wakati mmeshaanza mahusiano mmeshazoana. Unaweza kuuliza kijanja na ukapata jibu.

Mnavyopenda kulelewa mnatia aibu.yaani Mungu alivyowaita vichwa vya familiya mkadhani alikuwa anatania?😏

Mwanaume uliza tabia, uliza mwanamke atakaekuheshimu wewe na familiya yako, uliza atakae kupenda na kukujali, haya ndo ya muhimu kwanza.

Fanyeni kazi, mm mwanamme siwezi mpa hela yangu cash, nikimpebda nikaona hana mkono mgumu, atafaidi zawadi zangu tena za maana na sio pesa cash....... wajinga nyinyi.🤦‍♂️
 
Fanyeni kazi, mm mwanamme siwezi mpa hela yangu cash, nikimpebda nikaona hana mkono mgumu, atafaidi zawadi zangu tena za maana na sio pesa cash....... wajingabona povu
Acha kelele
 
Kizazi hiki cha kiiume hadi aibu. Unakutana na mwanaumein the first place anaanza kukupeleleza material things.

Yaani baada ya kuangaika na kujua tabia ya huyo mwanamke,, swalli la kwanza::-ikiwa mwanaume amempata mdada kupitia kwa mtu,

1:huyo dada ana kazi gani?🙄🙄
2. Anapata sh ngaapi mshahara??🤭🤭

Akishajua hayo ndo anaanza ndo anauliza appearance, .umri, elimu. Hii sina shida nayo kabisa.
Nyie viumbe mmnaangalia maslai mmekuwa watoto wa kike? Mwanaume uliza material things wakati mmeshaanza mahusiano mmeshazoana. Unaweza kuuliza kijanja na ukapata jibu.

Mnavyopenda kulelewa mnatia aibu.yaani Mungu alivyowaita vichwa vya familiya mkadhani alikuwa anatania?😏

Mwanaume uliza tabia, uliza mwanamke atakaekuheshimu wewe na familiya yako, uliza atakae kupenda na kukujali, haya ndo ya muhimu kwanza.

Fanyeni kazi, mm mwanamme siwezi mpa hela yangu cash, nikimpebda nikaona hana mkono mgumu, atafaidi zawadi zangu tena za maana na sio pesa cash....... wajinga nyinyi.🤦‍♂️
Hizo hela zenyewe unazo?
 
Kizazi hiki cha kiiume hadi aibu. Unakutana na mwanaumein the first place anaanza kukupeleleza material things.

Yaani baada ya kuangaika na kujua tabia ya huyo mwanamke,, swalli la kwanza::-ikiwa mwanaume amempata mdada kupitia kwa mtu,

1:huyo dada ana kazi gani?
2. Anapata sh ngaapi mshahara??

Akishajua hayo ndo anaanza ndo anauliza appearance, .umri, elimu. Hii sina shida nayo kabisa.
Nyie viumbe mmnaangalia maslai mmekuwa watoto wa kike? Mwanaume uliza material things wakati mmeshaanza mahusiano mmeshazoana. Unaweza kuuliza kijanja na ukapata jibu.

Mnavyopenda kulelewa mnatia aibu.yaani Mungu alivyowaita vichwa vya familiya mkadhani alikuwa anatania?

Mwanaume uliza tabia, uliza mwanamke atakaekuheshimu wewe na familiya yako, uliza atakae kupenda na kukujali, haya ndo ya muhimu kwanza.

Fanyeni kazi, mm mwanamme siwezi mpa hela yangu cash, nikimpebda nikaona hana mkono mgumu, atafaidi zawadi zangu tena za maana na sio pesa cash....... wajinga nyinyi.

Duh usitutukane wote kwa kukutana na tabia za huyo mjinga mmoja.
 
You are a best looser

kuna jambo kidogo ningependa kuwashirikisha wana kidogo, binafsi nimekuwa nikipata faraja kuona wana wakifanikiwa katika mambo yao , lakini leo nataka kuwaambia wana kwamba sometime mnaweza kuona kama mmefanikiwa lakini mmefeli pakubwa nikimaanisha you are a best looser aka ume-win lakini umeshindwa

Moja kwa moja twende kwenye maswala ya mahusiano, kuna wanaume wengi ambao wamefanikiwa kuwa na wapenzi ambao wao waliona wanafaa na wanastahili kuwa nao, kwa kuwa sisi wanaume ni watu wa logically sana huwa tunaangalia vitu kadhaa kama ishara ya kujihakikishia kwamba tumepata ushindi, kumbuka sisi wanaume tunafikilia kwa kutumia logical sense it means tunapima input na output ambayo tunaweza ku measure then kujipatia jawabu kama tumefanikiwa au tumeshindwa,

Mfano wanaume huwa tunahesabu tumefanikiwa sana baada ya kutembea na demu, kumpa mimba, pale ambapo tunafanikisha kumuoa mwanamke ambaye tulidhani yeye anaweza kuwa kila kitu kwetu, kwa kuwa hapa tunaweza kuona matunda ya jitihada tulizofanya, mara nyingi huwa tunajipa ushindi moja kwa moja, leo hii nataka nikukumbushe tu inawezekana ukaona kwamba umeshinda lakini umefeli pakubwa sana.

Moja ya swala gumu sana mwanaume kuelewa na kukubali ni kwamba mwanaume ni prize, japokuwa sisi wanaume tunatafuta na kutongoza wanawake lakini kuwa mwanaume ni jambo kubwa sana ambalo hilo tu linatosha kukufanya kutembea kifua mbele popote unapoenda, lakini kumekuwa na wimbi kubwa la wanaume wanaojiona wadhaifu, hawa ni kundi lile ambalo wanaona mwanamke na bila hata ya wao kumfahamu ghafla wanampa credit na thamani kubwa wakimuona yeye kama tunu, huku wakishindwa kutambua thamani yao binafsi, aina hii ya wanaume target yao kubwa ni jinsi gani wanaweza kumpata huyu demu ambaye wao wanadhani ni malaika na kila kitu kwao.

Baada ya jitihada kubwa sana ambazo hufanywa na hawa jamaa baadae hufanikiwa kumpata huyu bibie , hapa huanza kujiona vidume na kutuna, huanza kujiona wao ni watu wa thamani kubwa baada ya kuwa na huyu bibi dada , yani thamani yao binafsi huwa inatokana na vitu au watu wanaofanikiwa kuwapata, wanaume hawa huwa tayari kufanya jambo lolote lile kuhakikisha kwamba wanampatia furaha huyu mwanamke, wanaume hawa wanaona nafasi yao kubwa wanayoweza fanya ni kumtimizia mahitaji yote huyu mwanamke ilikuendelea kubaki hapo

Moja ya swala wanaume wengi wanashindwa kutambua, mwanamke hata siku moja hawezi kumtamani aina hii ya mwanaume au kudumu nae, aina hii ya wanaume wanashindwa kutambua kwamba mwanamke anahitaji mwanaume anayeweza kumuweka kwenye mstari, mwanamke anahitaji mwanaume kichwa, mwanaume kiongozi mwanaume msimamo, mwanume mwenye dira, aina hii ya wanaume sio wanaume wale wanaotazama kumpata mwanamke fulani kana kwamba kunawapatia wao thamani kama watu, au kwamba wao sio kitu chochote bila uwepo wake, wanashindwa kutambua kwamba, mwanaume unahitaji kuwa grounded before, baada na milele ilikuweza kuhimili kuwa na mwanamke.

Kutokana na maendeleo na hali ya maisha tunayoishi hii leo kumekuwa na mchanganyiko mkubwa wa mienendo kati ya wanaume na wanawake hii imepelekea wanaume wengi kupoteza hali ya uthubutu, siku hizi kuna wanaume wanamuonekano wa kike wanatabia za kike, ni vigumu kuweza kuwatofautisha na kundi la wakina dada, aina hii ya wanaume they dont have a sense of purpose, they are not grounded, ni vigumu sana kwa aina hii ya wanaume kuweza kumnyoosha mwanamke kuanzia tabia, mpaka katika swala la sex.

Sisi kama wanaume ni waanzishaji waelekezi na watawala, katika nyanja mbalimbali za maisha anachohitaji mwanamke ni kuwa controlled kidogo tu, kuwekwa kwenye mstari, hapa ndipo unapokuja ugumu wa aina hii ya wanaume wanaotazama kwamba wamefanikiwa kuwa na aina fulani ya wanawake , sababu aina hii ya wanaume wanashindwa kusimama kwenye mstari wao na mara nyingi wanakuja kuwa victim wa female manipulation, wanawake wanawatumia kwa faida yao binafsi.

Inashangaza siku hizi watoto wa dogo wakike wameanza mapema kuwa na uthubutu wakuwatumia na kuwadanganya wanaume, wanawake wanawahi mapema kutambua thamani yao wakati wanaume wanabaki kuwa reactive, matokeo yake siku hizi wanaume ndio wanawekwa kwenye mstari na wanawake, wanawake wanachagua aina ya mwanaume wanayemtaka wanamfanya ajione kwamba amefanikiwa sana kuwa na yeye then mwanaume anaanza kutengenezwa.

Je unawezaje kutambua kama wewe ni moja ya kundi ambalo wanadhani wamepata demu, mke au mpenzi kumbe wamepatikana na wamekamatwa? Ukiona umeanzisha uhusiano na mwanamke lakini mambo yafuatayo yanajitokeza fahamu kwamba si wewe uliyempata huyo demu bali yeye ndiye aliyekupata nakwamba kuna namna fulani ambayo yeye anafaidika na uwepo wako ndio maana yupo hapo, lakini wewe binafsi hauna mchango wowote katika maisha yake na furaha yake isipokua kile wewe unachochangia kwake.

  • Hauna nafasi yoyote katika maamuzi
  • Hataki mfanye mapenzi, mpaka atakapo fanya yeye maamuzi
  • Hajali nini unafikiria wala utafanya, lazima afanye anachotaka yeye.
  • Anakupa ahadi ukifanya jambo fulani nitakupa sex
  • Anakufanya wewe kuwa mnunuaji wa vitu kwa ajiri yake.
  • Ana chat na wanaume wengine na kuwapatia attension
  • Hana wivu hata kidogo kuhusu wewe
  • Hata siku moja hawezi kuanzisha swala sex (hana hisia na wewe)
  • Anajua hata akikukosea utamsamehe tu
  • Ana amini hauna na hauwezi kuwa na demu au mwanamke mwengine
  • Anakufokea
  • Hakuheshimu hata kidogo
  • Hana heshima kwa rafiki na watu wa karibu zako

Kuna tofauti kubwa sana namna hama jinsi wanawake wanavyotazama swala la mvuto katika mahusiano na jinsi wanaume tunavyolitazama swala hilo, mwanamke katika mahusiano anahitaji ku feel desired lakini mwanamke anapokuwa amekuweka mkononi mwake anapoteza mvuto kwako kabisa, ili mwanamke ku- feel desired unapaswa wewe kuwa challenge kwake maana nyingine mwanamke anapenda mwanaume ambaye wanawake wengine wanamtamani, mwanamke anatamani kuona kwamba unaweza kuwa na wanawake wengine lakini umemchagua yeye, anahitaji kujihisi upekee, tatizo la wanaume ambao wanafanya mambo ilikupendwa na wanawake zao mara nyingi wanadhani wanafanya kuongeza upendo kwa wanawake zao lakini mara nyingi swala hili huchukuliwa tofauti kwani wanaume hawa huvuka mipaka na kuwa na obsession, wanaume hawa hawana tofauti na wanaume wanaulipa pesa kupata ngono japokuwa unatoa pesa kupata ngono jambo hilo alikufanyi malaya hakutamani wala kupata mvuto kwako,

Jambo moja wanaume wengi wanashindwa kutambua, huyo demu wewe unayemuona malaika anatoa nauli yake kwenda kulala na mwanaume wakati wewe anakuomba nauli, huyo demu anahisia kubwa sana ya ngono zaidi ya wewe unavyodhania, tena amefanya mambo mengi ya ngono zaidi ya wewe unayoweza kufikiria, huyo demu anaupande wa pili ambao wewe huwezi jua sababu wewe sio mwanaume kamili, you are a people pleaser hauna guts, kuna mambo mengi ambayo anahitaji kufanya lakini sio na wewe sababu wewe hauwezi kufanya nae, you are avoiding confrontation unamuona yeye ni malaika lakini si kweli, habari mbaya kwako kuna wanaume wanaomshugulikia na wala wewe hauwezi amini maana unamuona yeye malaika, hivyo chagua mwenyewe ni aina ipi unataka kuwa, kupata mke, demu au mchumba sio kwamba umepata vyote, inawezekana umepata lakini still umepatikana kama wewe hautakua chanzo cha furaha ya huyo bibi utaishi kutumika tu, katika kutimiza mahitaji au unaweza kuwa that guy ambaye anafanya nae kila aina ya michezo
Umenifanya nijione niko sahihi
 
Sahihi. Lakini twende mbele turudi nyuma. Ukipata fursa pia jitahidi kujuwa umeoa bibi kutoka nyumba gani. Mabibi wengine wametokea kwenye koo za NZIGE.

UMELETA topic nzuri sana. Kimsingi nimejifunza na uzoefu wangu mdogo unaonesha wanaume wamekuwa ninvictim wakubwa wa mahusiano. On contrary nimekuja jofumza pia wanawake.wengi wanatambua wanachokitaka duniani from.their very early age. Wanaume wengi tunaingia katika mahusiano kwa kutegwa labda mimba...labda zawadi..ndo hivo tena kaja kukufulia nguo na kufanya usafi nk nk..hilo ndio tatizo kubwa la mahusiano ya sasa.....katika mahusiano haya mwanamke.anajuwa alichokifuata ndio maana anamwacha boyfriend yake anaempenda anakufuata bwana wake unaemtunza....

So uliyoyaandika yanafanya kazi vema katika jamii ile ya kizazi kilichopita. Cha wazazi wetu..sio hiki kizazi cha nyoka kisicholelewa na kuaswa.

1. Zamani mapenzi tuliambiwa ni give and take...siku hizi vijana wanasema ni kuhimu kuwa mbinafsi...

2. Ni vema kuhakikisha kemia ya mwili imeoana vema.

3. Mara chache sana kupata mke mzuri kutoka familia masikini. Yaani anaekuja kuponea kwako. Wahindi wanaitaga caste system...unaoa kutoka.kwenye familia iliyo na hadhi walau kama kwenu.....utakuta umeleta mwanamke muendelee na maisha yeye yuko busy kuibaiba na kufanya ya kujificha kunyanyua familia yao. Unakuwa umeoa kutoka familia ya nzige.

4. Ni bora uoe soul mate

5. Siku hizi wadada wanasema ni maisha tu....tena akigundua wewe ni aina ya mwanaume unapenda kumwezesha...kwao sio shoda kuzaa watoto wawili apate msimamo wa.maisha kisha asepe zake...maana hata asingekupata pengine asingepata mume hata hayo maisha angeyasikia. Siku hizi wana aina flani ya furaha kuwa single.mother s wenye noti na msimamo.wa.maisha...pia wakiwa na umilili mkubwa wa watoto..

6. Hakikisha huishi na mwanamke ambae ni wa.sumu kwako.."toxic"....ni gundu, mikosi na balaa.....ukijitambua kimbia sana usitizame nyuma utaanza upya na utafanikiwa tu......talaja ulaya ilikuwa basically kutokana na vitu kama hivi ubusy ulianza zamani mkakutana mjini mkayajenga....baadae mnakaa mezan mnagundua kumbe mumekosea....mnaprocess talaka...na sisi tumefika huko..tunaanza na kufanya maisha na mwanamke tunaoa baadae tunagundua tumekosea....tuprocess talaka tu tusiogope...maana siku hizi tunachukuwa mwanamke kwenye nyumba haya hatujuwi zinafananaje. Na kwao wakoje

Saa ingine mdada kaxoea kutumiwa kwenye mtandao pendwa we utamuweza wapi?
 
Kizazi hiki cha kiiume hadi aibu. Unakutana na mwanaumein the first place anaanza kukupeleleza material things.

Yaani baada ya kuangaika na kujua tabia ya huyo mwanamke,, swalli la kwanza::-ikiwa mwanaume amempata mdada kupitia kwa mtu,

1:huyo dada ana kazi gani?
2. Anapata sh ngaapi mshahara??

Akishajua hayo ndo anaanza ndo anauliza appearance, .umri, elimu. Hii sina shida nayo kabisa.
Nyie viumbe mmnaangalia maslai mmekuwa watoto wa kike? Mwanaume uliza material things wakati mmeshaanza mahusiano mmeshazoana. Unaweza kuuliza kijanja na ukapata jibu.

Mnavyopenda kulelewa mnatia aibu.yaani Mungu alivyowaita vichwa vya familiya mkadhani alikuwa anatania?

Mwanaume uliza tabia, uliza mwanamke atakaekuheshimu wewe na familiya yako, uliza atakae kupenda na kukujali, haya ndo ya muhimu kwanza.

Fanyeni kazi, mm mwanamme siwezi mpa hela yangu cash, nikimpebda nikaona hana mkono mgumu, atafaidi zawadi zangu tena za maana na sio pesa cash....... wajinga nyinyi.
Punguza kelele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom