Yote maisha

asprin unamasihala wewe...mpaka jeneza linahusika????
 
kufika tutafika inategemea na wewe umejipangaje kupambana na haya maisha ili nawewe ujekuwa nacho.siokilasiku unakaa tu ukisubili kuletewa tu na wenye nacho .jishugulishe ata kwa kuuza kalanga mdogomdogo tutatoka tu..HATA MBUYU ULIAZA KAMA MCHICHA...
 
Hautafika. Jeneza tuchukulie Muhimbili au Manzese? Ya Manzese yana bei nafuu zaidi.

Mungu akurehemu.

Amina.
Nimecheka kwa kweli.
Halafu mbona umeanza kukesha mapema hivi?
 
...funguka tu mkuu...hatumwambii mtu...imekuwaje?lol!!!
 
Hii post imenikasirisha sana.
Kuna mambo mawili nayachukia sana kwa waTz wenzangu.
1-Kuomba omba
2-Kulalamika kila kukicha

Ahhgggg..........
 
Hata usipofika ukatangulia mchungaji Gwajima atakufufua urudi cha msingi pambana ufike...
 
hatutafika coz aliyepewa ndo kapewa kama hujapewa ujue hautapewa coz maskin wapo kwenye duara ambalo watazungukia humo humo kutokana na mfumo wa ubepari sasa m2 nmesoma st.kayumba ambapo kuna uhaba wa walim ntafaul vip hata nkifaulu ntafanya kaz wap sina ndugu wa pesa ya rushwa!
 
sema "je nitafika?" usiseme "je tutafika", ufike na mwenzio nani? cku hizi kila mtu na lwake ujamaa ulishakufa zamani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…