Yote hayo ya nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yote hayo ya nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by masasi, Aug 23, 2010.

 1. m

  masasi Member

  #1
  Aug 23, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inashangaza kuona rais aliyekaa madarakani kwa miaka mitano jinsi chama chake kinavyopata shida kwenye kulazimisha watu wamkubali mgombea wao kwa kuandaa mabango ya kila aina,kufanya kila aina ya umafia hata wa kupandikiza wagombea kwenye vyama vya upinzani ili kuvidhoofisha,hivi chama hiki kizee kinatupeleka wapi?tuamke na tuseme inatosha hatudanganyiki tena
   
 2. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,422
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  MASASI wahenga walisema " kibaya cha jitembeza, chema chajiuza" it takes alot of efforts and resources to justify the credibilty of CCM
   
 3. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Inabidi tuamshane jamani, kwani wengine tumeishaamka ila wengine ndo kwanza wanatia mablanket vichwani!
   
Loading...