Y Yoriyori Member Joined Feb 12, 2012 Posts 13 Reaction score 0 Feb 12, 2012 #1 Nafurahi kuwa mmoja wa wanafamilia hii. Ni familia ya wasomi, familia ya wastaarabu, familia ya wazalendo na ya watu wenye mshikamano. Nipokeeni wapendwa
Nafurahi kuwa mmoja wa wanafamilia hii. Ni familia ya wasomi, familia ya wastaarabu, familia ya wazalendo na ya watu wenye mshikamano. Nipokeeni wapendwa
nitonye JF-Expert Member Joined Dec 18, 2011 Posts 7,349 Reaction score 3,904 Feb 12, 2012 #2 Karibu kwa mikono miwili hapa ndio Jf utapata kila kitu. Haa nilitaka kusahu hivi Yo Yo = Yoriyori au nimekosea?
Karibu kwa mikono miwili hapa ndio Jf utapata kila kitu. Haa nilitaka kusahu hivi Yo Yo = Yoriyori au nimekosea?
Y Yoriyori Member Joined Feb 12, 2012 Posts 13 Reaction score 0 Feb 12, 2012 Thread starter #3 nitonye said: Karibu kwa mikono miwili hapa ndio Jf utapata kila kitu. Haa nilitaka kusahu hivi Yo Yo = Yoriyori au nimekosea? Click to expand... Huyo yoyo ndio nani mimi simjui mwaya, mimi ni mgeni hapa japo nimekuwa nikisoma mara kwa mara mijadala yenu
nitonye said: Karibu kwa mikono miwili hapa ndio Jf utapata kila kitu. Haa nilitaka kusahu hivi Yo Yo = Yoriyori au nimekosea? Click to expand... Huyo yoyo ndio nani mimi simjui mwaya, mimi ni mgeni hapa japo nimekuwa nikisoma mara kwa mara mijadala yenu
nitonye JF-Expert Member Joined Dec 18, 2011 Posts 7,349 Reaction score 3,904 Feb 12, 2012 #4 Yoriyori said: Huyo yoyo ndio nani mimi simjui mwaya, mimi ni mgeni hapa japo nimekuwa nikisoma mara kwa mara mijadala yenu Click to expand... Utamjua tu maadam umeshaingia tayari maana Yo Yo hajaonekana kitambo ndio maana napata wasiwasi. BTW karibu sana
Yoriyori said: Huyo yoyo ndio nani mimi simjui mwaya, mimi ni mgeni hapa japo nimekuwa nikisoma mara kwa mara mijadala yenu Click to expand... Utamjua tu maadam umeshaingia tayari maana Yo Yo hajaonekana kitambo ndio maana napata wasiwasi. BTW karibu sana
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,671 Feb 13, 2012 #5 Karibu sana JF mkuu.