Wakuu mapema leo kwenye gazeti la mwanaspoti kocha mkuu wa Azam, Stewart Hall ameongea kuwa anahofu na uzoefu wa beki ya kati ya Yanga has uwepowa Yondani, Canavaro na Chuji. Maelezo aliyotoa ni kuwa hiyo safu ya beki wa kati wa Yanga imejaa uzoefu mkubwa kuliko mabeki wakati wa Azam. Sasa kutokana na matokeo ya mechi ya leo utaona kwamba yanga walianza na kasi kubwa halafu taratibu wakapungua. Je wakuu hapa ninajiuliza kuwa Kuumia kwa Yondani kunaweza kuwa ni mipango madhubuti ya kocha wa azam kwa vijana wake kuwa hakikisheni mnawaumiza hawa mabeki wa kati wa yanga wakifikiri kuwa kwakufanya hivyo kungewafanya azam wamalize gemu mapema kwamaana ya kuwadhoofisha yanga?
Kama ni kweli mbinu za leo za kuumiza wachezaji basi kwa kiasi fulani zimewasaidia lakini bado Yanga ni timu imara ambayo inaweza kuhimili pressure ya Azam
Kama ni kweli mbinu za leo za kuumiza wachezaji basi kwa kiasi fulani zimewasaidia lakini bado Yanga ni timu imara ambayo inaweza kuhimili pressure ya Azam