Yoko Mini-Washing Machine

Yoko Mini-Washing Machine

candyloycious

Member
Joined
Sep 5, 2015
Posts
44
Reaction score
13
Mashine ndogo za kufulia nguo za watoto na wakubwa pia
Ni semi automatic machines
Yoko Jf brands kutoka China
Zina kg 5
Zinatumia umeme mdogo
Zinahamishika na Rahisi kutumia
Zinafua,kusuuza na kukamua
Zipo zinazofua nguo na zinafua viatu
Bei ni 160,000 kila moja
Piga/whatsapp no 0676169893
Tupo kijichi mbagala kuu na delivery tunafanya mjini kote DSM na mikoani tunatuma kwa uwaminifu

IMG-20211008-WA0049.jpg
IMG-20211008-WA0050.jpg
IMG-20211008-WA0048.jpg
20211007_150957.jpg
 
Karibu upate machine ndogo ya kufulia
4.5kg capacity load
Need a free delivery?
Call 0676169893
Request a mini washing machine 5kgs today
Pay when u receive
160,000tshs only
Inafua,kusuuza na kukamua.
Kijichi mbagala kuu

IMG_20220111_103743_301.jpg
 
Ina warranti ya muda gani?
Kama viko imara, bei ni rafiki sana.

Ukimpelekea imsaidie Mama kijijini si wanakijiji wote watapeleka hapo kufuliwa nguo zao? Inakua umepeleka matatizo badala ya neema ( gharama za umeme, sabuni na maji). Hapo achilia masimango kwamba mnajidai...

Sie wa vijijini bado tunasafari ndefu sana.
 
Ina warranti ya muda gani?
Lama viko imara, bei ni rafiki sana.

Ukimpelekea Mama kijijini si wanakijiji wote watapeleka hapo kufuliwa? Inakua umepeleka matatizo badala ya neema ( gharama za umeme, sabuni na maji). Hapo achilia masimango kwamba mnajidai...

Sie wa vijijini bado tunasafari ndefu sana.
warranty one year
 
Ahsante.

Nimeshakutahadharisha natokea kijijini, nivumilie tu.

Ukaposema 5 Kg, inamaanisha inachukua mzigo ( nguo na maji) wa 5 kg kwa mkupuo mmoja?
Hahahaaa uwe na amani boss wangu
Ndio yaaan mfano mashirt unaweza weka matano mpaka 6 ya mtu mzima
 
Hahahaaa uwe na amani boss wangu
Ndio yaaan mfano mashirt unaweza weka matano mpaka 6 ya mtu mzima

Barikiwa sana. Swali la mwisho kwa sasa,
Kwa mfano huo huo, tufanye nimeweka mashati matano, inachukua muda gani mchakato wote kukamilika hadi nguo kukamuliwa ili nikazianike?

Na zinatumia sabuni maalum au hizi omo, forma na zingine za unga? Najua kuna sabuni maalum za mashine za kufulia, hizi unazoziuza zinatumia aina ipi?

Ahsante
 
Hii ni sabuni yeyote ya unga au maji
Inafua maximum dakika 12 kukamua dakika 3
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom