Yogobeats wamemharibia album Alikiba

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,448
16,312
Album nzima ni mchiriku. Hakuna ngoma yenye uhai wa miaka 5 au 10 ijayo au hata maisha kabisa.

Alikiba wa Cinderela sio huyu wa Ndombolo.

Alikiba wa MacMuga sio huyu wa Salute.

Alikiba wa Nakshi Nakshi sio huyu wa Niteke.

Alikiba wa Hadithi sio huyu wa Oyaoya.

Alikiba wa Karim sio huyu wa Bwana Mdogo.

Alikiba wa Mwana, Seduce Me, Kadogo, Aje, Nagharamia, Dodo, Mwambie Sina SIO huyu wa Amour, Tamba, Sitaki Tena, Washa, Habibty, Gimme Dat.

Kwa kifupi kuna gap kubwa sana kati ya album zilizopita na hii mpya. Na hii yote imechangiwa na production kufanywa na producer mmoja, sijui nani alimdanganya. Nyimbo zote ladha ni moja.

Ile combination ya Alikiba na Man Walter ilikuwa hatari sana, next level. Alikiba fanya juu chini myamalize na mwana maana kwa hali ilivyo kama si ukubwa wa jina lako basi hii album ingechezea vitasa sana sana.

Anyway, nipo naburudika na Seduce Me hapa on repeat mode, mambo ya Ndombolo nawaachieni wana Kariakoo muendelee nayo.
 
Ni sahihi maprodyuza wengi wanafanya tu hizi kazi lakini uwezo na ubunifu Ni mdogo

Kuna jamaa yule wa KGT nilimkubali Sana
Pia Man Walter yupo vizuri kwa Aina ya uimbaji na Melody za Kiba anahitaji Aina ya maprodyuza wasiotumia Sana computer kwenye Kila kitu
 
Album nzima ni mchiriku. Hakuna ngoma yenye uhai wa miaka 5 au 10 ijayo au hata maisha kabisa.

Alikiba wa Cinderela sio huyu wa Ndombolo.

Alikiba wa MacMuga sio huyu wa Salute.

Alikiba wa Nakshi Nakshi sio huyu wa Niteke.

Alikiba wa Hadithi sio huyu wa Oyaoya.

Alikiba wa Karim sio huyu wa Bwana Mdogo.

Alikiba wa Mwana, Seduce Me, Kadogo, Aje, Nagharamia, Dodo, Mwambie Sina SIO huyu wa Amour, Tamba, Sitaki Tena, Washa, Habibty, Gimme Dat.

Kwa kifupi kuna gap kubwa sana kati ya album zilizopita na hii mpya. Na hii yote imechangiwa na production kufanywa na producer mmoja, sijui nani alimdanganya. Nyimbo zote ladha ni moja.

Ile combination ya Alikiba na Man Walter ilikuwa hatari sana, next level. Alikiba fanya juu chini myamalize na mwana maana kwa hali ilivyo kama si ukubwa wa jina lako basi hii album ingechezea vitasa sana sana.

Anyway, nipo naburudika na Seduce Me hapa on repeat mode, mambo ya Ndombolo nawaachieni wana Kariakoo muendelee nayo.
kwani kiba katoa album ngapi kabla ya hii hapa?
 
Album ni nzuri ila kama ingepita kwenye mikono au vichwa vya maproducer tofaut tiofaut ingekuwa bora zaidi
 
Back
Top Bottom