Nimekumisi hatari
Baby Noyo inauma ujue 😩😩😩Hunishindi Mimi baby
Baby lakin si unajua mambo yangu siku zote?Si ulikua waniletea pozi..
Baby hivi kodi ya nyumba yako inaisha lini, sitaki usumbuliwe kabisa na baba mwenye nyumba.Ukija uje na ile pesa ya Peruvian hair
Waweza kua wa 14...behewa bado halijajaa
Basi ni vyema ukafunga bakuli lako..Hicho chawote mimi sikiwezi
Baby Noyo inauma ujue [emoji30][emoji30][emoji30]
Ndio basi tenaBaby lakin si unajua mambo yangu siku zote?
Baby hivi kodi ya nyumba yako inaisha lini, sitaki usumbuliwe kabisa na baba mwenye nyumba.
Tatizo jamaa ananitambia ndo maana nimepata.Baby si umesema hauna wivu?
Punguza wivu baby..Tatizo jamaa ananitambia ndo maana nimepata.
Mwenyewe niliwaza hilo, kwa hiyo sijui unataka tukanunue wapi term hii.Kesho kutwa baby...alafu baby hizi furniture nimezichoka nataka mpya
Niagizie kutoka marekani babyMwenyewe niliwaza hilo, kwa hiyo sijui unataka tukanunue wapi term hii.
Kwenye hiyo remix, nami niongeze kwenye hiyo list, maneno matamu niyatoe kwa huyo mrembo yani kiufanisiMkuu naomba kwenye remix unishirikishe na mimi niweke mistari yangu
Yna 2 mtoto mkali embu legeza
Zero IQ chakali umemuweza
Kabla hajakupata anaogopa kukupoteza
Nguvu anazo hatari, zikipungua atabusti na pweza
Don't let me down my shemela
Baby sina shaka hizo ni mbio za panya tu, ubora wangu uko palepale si ndiyo baby.Ndio basi tena
Haswaaaa nilitaka nikwambie hivyo.Niagizie kutoka marekani baby
what's up bro upo hapa hapa?? nilikuwa nakuwazia mambo mabaya sana heri nimekuona, kwema???Da'vinci ndie fundi mwenyewe kama ulikua hujui....
Noma sana lazima iwe hit song aseeKwenye hiyo remix, nami niongeze kwenye hiyo list, maneno matamu niyatoe kwa huyo mrembo yani kiufanisi
Tafu kwa brother kaka,
Zero IQ,
usihofu huyo mrembo utampata,
wandewa tushatia nanga,
Ili back up iwe ya faster
Comments zako zinamfanya awe hoi, pliz Yna maa muelewe wetu boi, Zero IQ kwako hakohoi, mpe nafasi bila wasi akupe kasi ya mapenzi na mta' enjoy
Tatizo hela hana!Kwenye hiyo remix, nami niongeze kwenye hiyo list, maneno matamu niyatoe kwa huyo mrembo yani kiufanisi
Tafu kwa brother kaka,
Zero IQ,
usihofu huyo mrembo utampata,
wandewa tushatia nanga,
Ili back up iwe ya faster
Comments zako zinamfanya awe hoi, pliz Yna maa muelewe wetu boi, Zero IQ kwako hakohoi, mpe nafasi bila wasi akupe kasi ya mapenzi na mta' enjoy