Amani iwe pamoja nanyi Ndugu zangu. Kama kuna yeyote mwenye Uelewa na Tunnelguru na DroidVpn naomba anisaidie kwa hili.
Nilikuwa natumiaga hii kitu back on 2011 to 2013. Sikuwahi kwenda premium niliishia kupata zile 100mbs na 150 mbs za free servers...
Naomba kujua kama still zinafunction kwasababu in 2015 to 2016 nilijaribu nakuona zinagoma kupitia hizi nets za home (Wenye kuzijua wanaelewa ninaposema kwamba zinagoma).
Kama kuna yeyote ambaye still anatoboa kupitia Tunnelguru au Droidvp naomba msaada katika hili . If unsecured hata ukinipm fresh tu..
Thank you in Advance.[emoji120]