Hawamo wenyewe. Kwanza hayo mabikla yatatoka wapi? Wote wameshachakachuliwa. Af, uongo ndo hapo unapokuja. Yaani wanaume hata kama ni wazinzi duniani, wakifanya maovu yao watazawadiwa mabikra. Lakini wanawake hawaongelewi. Huyo Mungu anaebagua watu wake jamani!!!