Sina mapito mimi nimejaliwa logic kubwa sana watu wanao nifahamu wanakili ni genius matata sana ...mimi nilicho fanya ni kusoma tu injili na kusikiliza na kusikiliza uislamu basi nikatambua uwezo mdogo wa watu kiakili ...wewe huoni waislamu humu unikimbia...niliwai kuwapiga maswali mashekh hadi leo wale mashekh wamepoteza imani na muhammad japo wanaendelea kuwa mashekh wamekuwa wapole na kuna siku mlokole mdada alinijia nilimpiga maswali machache tu mwenyewe akasema ngoja nikasome biblia upya nione kama unacho sema ni kweli.Ikikupendeza,
Uje utupe ushuhuda wa mapito Yako kiimani Hadi kuijua Kweli Toka huko kwenye dini Ile.
Genius au zezeta watu wanakuacha ujione mwambaSina mapito mimi nimejaliwa logic kubwa sana watu wanao nifahamu wanakili ni genius matata sana ...mimi nilicho fanya ni kusoma tu injili na kusikiliza na kusikiliza uislamu basi nikatambua uwezo mdogo wa watu kiakili ...wewe huoni waislamu humu uni unikimbia...niliwai kuwapiga maswali mashekh hadi leo wale mashekh wamepoteza imani ma muhammad japo wanaendelea kuwa mashekh wamekuwa wapole na kuna siku mlokole mdada alinijia nilimpiga maswali machache t8 mwenyewe akasema ngojq nikaseme biblia upya nione kama unacho sema ni kweli
Biblia iliyo andikwa na zakayo sasa hv inaendeshwa na taasisi Ndio iwe funga kaziMajibu yote yapo ndani ya biblia. Biblia ndio funga kazi.
Genius au zezeta watu wanakuacha ujione mwamba
Mashekh 6 walikosa majibu ya maswali 6 niliyo wauliza na walikili kuwa wameshindwa kujibuGenius au zezeta watu wanakuacha ujione mwamba
Biblia iliandikwa na watu waliovuviwa na Mungu.Biblia iliyo andikwa na zakayo sasa hv inaendeshwa na taasisi Ndio iwe funga kazi
Imeandikwa usitupe Lulu zako mbele ya nguruwe (Lulu ni pesa ...mali ...na vyote vilivyo na thamani ikiwemo nafsi yako ) wasije wakazikanyaga na kukurarua...Nguruwe ni kina mwamposa ...kina kiboko ya wachawi ....kina ngwaji boy ...kina gamanywa ...kina kakobe ...kina zumaridi. mungu mke nk NAGAMAHONGAHakuna sadaka hapa maana hamkawii ninyi.ikwa
Jiulize shetani alipata wapi mamlaka ya kumpandisha Yesu kwenye kinara na kumtambia yote anayoona ni milki yake na Yesu hakubisha mpaka leo unajua kwanini?Hujajibu , muumba ni mmoja lkn yupi? Tupe habari zake.
Kibiblia inatanabaisha habari za miungu kuwa ipo mingi baada ya kutupwa duniani walijenga himaya zao na kuabudiwa. Kuna ashera, dagon nk. Yote Ni miungu, hata Yale mapigo kumi misri ilikuwa Ni miungu kumi ya misri iliyopigwa na Mungu muumba.
Hatutishwi na uwingi wa miungu, tunatishwa na sifa za Mungu mwenye uweza mbabe anayeweza kutamka na miungu yote ikafyata mkia. Hao ma artemi hushika baadhi ya maeneo madogo lkn hawana uwezo wa kumudu dunia yote Wala kujitangaza Kama afanyavyo Mungu wetu.
Na mimi nakujibu ifuatavyoKama ni kweli unachosema basi nikuulize maswali kuhusu uislamu ....au swali moja tu nijibu je Muhammad kabla ya kupewa utume alikuwa kafiri au la?
Weka hapa hayo maswali acha kujisifia sana Mjomba.. empty brain ndo mnaongoza kwa kujisifia sifia kujiita genius na hakuna unacho juaMashekh 6 walikosa majibu ya maswali 6 niliyo wauliza na walikili kuwa wameshindwa kujibu
Ukiona mtu mzima anasema chupa imejaa 100% na ilikuwa empty 100% kwa wakati mmoja Unajua tu unaongea na mwehu!Yesu alipokuwa tumboni mwa Maria, Uungu wake haukupunguzwa wala haukukomea. Katika Ukristo, Yesu ana asili mbiliβUungu (100% Mungu) na Ubinadamu (100% mwanadamu). Hii inamaanisha kwamba alipokuwa duniani, hakuwa ameacha uungu wake, bali alikuwa ameuchukua mwili wa kibinadamu kwa hiari yake.
Katika Wakolosai 1:17, Biblia inasema:
"Naye amekuwako kabla ya vitu vyote, na vitu vyote hushikana katika yeye."
Hii inaonyesha kuwa hata alipokuwa tumboni mwa Maria, Yesu hakupoteza mamlaka yake ya kimungu. Mungu Baba na Roho Mtakatifu waliendelea kushikilia mpango wa mbingu na ulimwengu, kwa sababu Mungu ni Mmoja katika nafsi tatuβBaba, Mwana (Yesu), na Roho Mtakatifu (Mathayo 28:19).
Yesu mwenyewe alisema katika Yohana 10:30:
"Mimi na Baba tu umoja."
Kwa hiyo, hata alipokuwa tumboni mwa Maria kama mwanadamu, Uungu wake haukupunguzwa, na mamlaka ya Mungu juu ya ulimwengu uliendelea bila shida yoyote. Hili ni fumbo la kiimani ambalo linahitaji kueleweka kwa kutambua kwamba Mungu si kama wanadamu, anaweza kuwa mahali popote na kufanya mambo yote kwa wakati mmoja.
kwahyo tutegemee roho mtakatifu akimshukia mwamposa na akongeza kitabu kingine cha 67? Au walio shukiwa hao wanatosha?Biblia iliandikwa na watu waliovuviwa na Mungu.
2 Timotheo 3:16, inasema:
"Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki."
Hii inaonyesha kwamba ingawa Biblia iliandikwa na waandishi wa kibinadamu, waliongozwa na Roho Mtakatifu ili kuandika ujumbe wa Mungu.
Biblia ina vitabu 66 vilivyoandikwa na waandishi zaidi ya 40, waliotoka katika nyakati tofauti, kwa takriban miaka 1,500. Baadhi ya waandishi wa Biblia ni:
Musa β Aliandika vitabu vya Mwanzo, Kutoka, Mambo ya Walawi, Hesabu, na Kumbukumbu la Torati.
Daudi β Aliandika sehemu kubwa ya Zaburi.
Isaya, Yeremia, Ezekieli, Danieli β Manabii waliandika vitabu vyao vya unabii.
Mathayo, Marko, Luka, Yohana β Waliandika Injili kuhusu maisha ya Yesu Kristo.
Paulo β Aliandika nyaraka nyingi za Agano Jipya kama Warumi, Wakorintho, Wagalatia, n.k.
Petro, Yakobo, Yuda β Nao pia waliandika sehemu za Agano Jipya.
Swali lako nila muhimu sana na linahusiana na mafundisho ya Ukristo kuhusu ufunuo wa Mungu na mamlaka ya Maandiko Matakatifu.kwahyo tutegemee roho mtakatifu akimshukia mwamposa na akongeza kitabu kingine cha 67? Au walio shukiwa hao wanatosha?
Ok sawa nmekuelewa. Iko hivi ; haki ya umiliki wa dunia yetu tuliigawa kwa shetani baada ya dhambi so shetani anaimiliki dunia hi kisheria kabisa, ndo sababu maandiko yanasema shetani Ni Mungu wa dunia hii.Jiulize shetani alipata wapi mamlaka ya kumpandisha Yesu kwenye kinara na kumtambia yote anayoona ni milki yake na Yesu hakubisha mpaka leo unajua kwanini?
Luka 4:5-6
Akampandisha juu, akamwonyesha milki zote za ulimwengu kwa dakika moja.
Ibilisi akamwambia, Nitakupa wewe enzi hii yote, na fahari yake, kwa kuwa imo mikononi mwangu, nami humpa ye yote kama nipendavyo.
Ingekuwa walikuwa hawawezi shika dunia yote kuzingekuwa na hizi principles za dunia ambazo ukiwa mtenda haki kweli (muaminifu) unakuwa hupendwi ndo maana wakasema chema hakidumu unajua kwanini?
Yani dhambi za wanadamu ndo zimeigawa milki ya dunia kwa shetani? kwani mwanzo ilikuwa ya nani? ... yani kwamba shetani anamiliki hii dunia ambayo sisi wanadamu ndo tunazaliwa humu, tunaishi humu na tutakufa humu! ... kwamba shetani aliipokonya hii dunia kwa Mungu ama? ...Dah!!!Ok sawa nmekuelewa. Iko hivi ; haki ya umiliki wa dunia yetu tuliigawa kwa shetani baada ya dhambi so shetani anaimiliki dunia hi kisheria kabisa, ndo sababu maandiko yanasema shetani Ni Mungu wa dunia hii.
Anachofanya Mungu Ni kutumia njia ya yesu kuikomboa tena lkn pia kuutangazia ulimwengu ukuu wake.
Bahati nzuri unajua kwamba shetani anaimiliki dunia hii, kwa hiyo sitegemei tena madai kuhusu miungu maana tayari utakuwa unajua chanzo Chao.
Haya kuna swali niliuliza sasa nakuletea ili ujue hayo unayo jibu ndiyo yanayo kufunga mwenyeweNa mimi nakujibu ifuatavyo
Uislam haujaanzia kwa Muhammad uislam umeanza tokea dunia inaumbwa mpka kwa adam na dini imekamilishwa kwa Muhammad kupewa kitabu Quran
Na kabla ya kupewa alikuwa akifunga na kusali kama ilivyo kuwa kwa Ibrahim na Musa
Swali lingine Leta
Nafsi ya yesu ndiyo mungu ...miili siyo uzima uzima ni nafsi ....kituko ni Muhammad...Na mimi nakujibu ifuatavyo
Uislam haujaanzia kwa Muhammad uislam umeanza tokea dunia inaumbwa mpka kwa adam na dini imekamilishwa kwa Muhammad kupewa kitabu Quran
Na kabla ya kupewa alikuwa akifunga na kusali kama ilivyo kuwa kwa Ibrahim na Musa
Swali lingine Leta
Logic ya imani ipo juu ya imani..Hapa ndo unapoanza kuhalalisha kisicho sawa, hata wewe mwenyewe unaona wazi kuwa hicho unachokiamini ni illogical.
Imani sio kuamini tu kibubusa! ... otherwise wewe unaamini vp kama kuabudu ng'ombe ni imani potofu? .... ukiona unashindwa ku-justify imani yako basi we jua huna tofauti na yule anayeamini ng'ombe kuwa ndo mungu na mwokozi wake.
Kama unapinga sawa pinga lakini haikufanyi uwe sahihi.. kwa nini watu wanaumwa? Haya sio mambo ambayo Mungu alimuumbia binadamu.. Mungu alimuumba binadamu akamuweka dunia ampe utukufu sio haya yanatokea. Haya yanayotokea ni matokeo ya dhambi ni matokeo ya kutukumtii Mungu na badala yake hatui vile Mungu alitukusudia.Yani dhambi za wanadamu ndo zimeigawa milki ya dunia kwa shetani? kwani mwanzo ilikuwa ya nani? ... yani kwamba shetani anamiliki hii dunia ambayo sisi wanadamu ndo tunazaliwa humu, tunaishi humu na tutakufa humu! ... kwamba shetani aliipokonya hii dunia kwa Mungu ama? ...Dah!!!
Nyie wakristo acheni kukufuru nyie ... hizi imani zenu zipo 100% in line na zile imani za kipagani za kirumi zakuamini watawala walikuwa ni miungu watu, ndo wale akina Thor, Zeus na Hercules. Mumetengenezewa imani ya kipagani kwa kutumia jina la Yesu. Msingi wenu wa imani ni 100% tofauti na imani iliyokuwepo kabla ya ukristo (uyahudi) na ni 100% in line na upagani wa kirumi .... bado hamuoni kuwa mnachezewa na warumi?????
Shetani hamiliki chochote acheni kumpa utukufu, mnakufuru kwa kumshirikisha Mungu na viumbe wake dhaifu juu ya umiliki wake Mungu mmoja. Kumshirikisha Mungu ni kumpa kiumbe mwengine sifa ambayo hiyo sifa ni ya Mungu pekee. Hebu tumieni akili basiiii!!!!! dah!
Jifunzeni Kama huwezi pita kule, maana huelewi maandiko na kutega sikio pia hutakiYani dhambi za wanadamu ndo zimeigawa milki ya dunia kwa shetani? kwani mwanzo ilikuwa ya nani? ... yani kwamba shetani anamiliki hii dunia ambayo sisi wanadamu ndo tunazaliwa humu, tunaishi humu na tutakufa humu! ... kwamba shetani aliipokonya hii dunia kwa Mungu ama? ...Dah!!!
Nyie wakristo acheni kukufuru nyie ... hizi imani zenu zipo 100% in line na zile imani za kipagani za kirumi zakuamini watawala walikuwa ni miungu watu, ndo wale akina Thor, Zeus na Hercules. Mumetengenezewa imani ya kipagani kwa kutumia jina la Yesu. Msingi wenu wa imani ni 100% tofauti na imani iliyokuwepo kabla ya ukristo (uyahudi) na ni 100% in line na upagani wa kirumi .... bado hamuoni kuwa mnachezewa na warumi?????
Shetani hamiliki chochote acheni kumpa utukufu, mnakufuru kwa kumshirikisha Mungu na viumbe wake dhaifu juu ya umiliki wake Mungu mmoja. Kumshirikisha Mungu ni kumpa kiumbe mwengine sifa ambayo hiyo sifa ni ya Mungu pekee. Hebu tumieni akili basiiii!!!!! dah!