Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,262
- 12,192
YESU NDIYE MUNGU KWA SABABU NAFSI YA MUNGU NDIYO ILIYO KUWA NDANI YA YESUMaandiko haya yote yanathibitisha nafasi ya Yesu Kristo katika kazi ya uumbaji.
Yohana 1:1-3
"Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwa kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika."
- Wakolosai 1:15-17
"Kwa kuwa katika yeye vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo duniani... vitu vyote viliumbwa kwa njia yake na kwa ajili yake."- Waebrania 1:2
"...kwa njia yake aliuumba ulimwengu."- Waebrania 1:10
"Wewe, Bwana, hapo mwanzo uliutia misingi ya nchi, Na mbingu ni kazi ya mikono yako."- Ufunuo 3:14
"Yeye ni mwanzo wa kuumba kwa Mungu."- 1 Wakorintho 8:6
"...Bwana mmoja Yesu Kristo, ambaye kwa yeye vitu vyote vimekuwapo."- Yohana 1:10
"Ulimwengu ulifanyika kwa yeye, wala ulimwengu haukumtambua."- Mika 5:2
"Kutoka kwako kitatoka kwake atakayekuwa mtawala katika Israeli, ambaye asili zake zimekuwa za tangu milele."
- Inahusisha Yesu na milele, akionyesha uhusiano wake na uumbaji.
- Zaburi 102:25 (iliyorejelewa katika Waebrania 1:10)
"Hapo mwanzo uliutia misingi ya nchi, Na mbingu ni kazi ya mikono yako."- Isaya 9:6
"...naye ataitwa... Baba wa milele, Mfalme wa amani."
- Yesu akiwa Baba wa milele, anahusiana na kazi ya kuumba.
- Waefeso 3:9
"...Mungu aliyeumba vitu vyote kwa Yesu Kristo."- Zaburi 33:6
"Kwa neno la Bwana mbingu zilifanyika."
- Yesu ni Neno la Mungu.
- Mithali 8:22-31
"Bwana alinipata mwanzo wa njia yake, Kabla ya matendo yake ya kale."
- Inahusisha Hekima na Yesu kama mshiriki wa uumbaji.
- Warumi 11:36
"Kwa maana vitu vyote vyatoka kwake, na kwa yeye, na kwa ajili yake."- Ufunuo 4:11
"...kwa kuwa wewe ndiwe uliumba vitu vyote, na kwa mapenzi yako vilikuwako na kuumbwa."- Yohana 17:5
"Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja na wewe mwenyewe kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako."
- Yesu alikuwa na Mungu kabla ya uumbaji.
- Ayubu 38:4-7
"...Nilipoiweka misingi ya dunia... nyota za asubuhi ziliimba pamoja."
- Yesu, akiwa Neno, alihusika.
- 1 Petro 1:20
"Alijulikana tangu kabla ya kuwekwa msingi wa ulimwengu."- Yohana 8:58
"Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, kabla Abrahamu hajakuwako, Mimi niko."
- Yesu ni wa milele, na uumbaji unamhusu.
- Mathayo 28:18
"Yesu akaja kwao, akasema, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani."BWANA YESU ATUKUZWE
- Kama Muumbaji, Yesu ana mamlaka juu ya vitu vyote.
Aliuliwa ili apate kubeba dhambi zetu tupate kusamehewa. Mpaka hivi sasa tumesha samehewa dhambi zetu kupitia yeye. Ni swala la kumwamini ya kwamba ni BWANA NA MWOKOZI WETU. JINA LA BWANA LIHIMIDIWE MILELE. AMINAKama ana nguvu zote hizo kwa nini auliwe na binadamu. Ina maana binadamu wana nguvu kumzidi?
Kwenye kusoma biblia tuwe tunajaribu kusoma kwa kutumia principal of context.Hapo mnatumix. Yesu si mwana wa Mungu, Mungu ndie alieumba mbingu na nchi.
Kuona dhambi akamtuma mwanae aje kutukomboa, Yoh 3:16 "Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata alimtuma Mwanawe wa pekee, ili kila amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele."
Yeye aliye andikwa kwenye Biblia.Unazungumzia Yesu Brian decon au Yesu yule Mtoto WA fundi selemara
Unahisi dhambi zinasameheka kirahisi hivyo?Aliuliwa ili apate kubeba dhambi zetu tupate kusamehewa. Mpaka hivi sasa tumesha samehewa dhambi zetu kupitia yeye. Ni swala la kumwamini ya kwamba ni BWANA NA MWOKOZI WETU. JINA LA BWANA LIHIMIDIWE MILELE. AMINA
Maandiko Mengi yanayomhusu yanakanganyaYeye aliye andikwa kwenye Biblia.
Praise be to God in the highest.Maandiko haya yote yanathibitisha nafasi ya Yesu Kristo katika kazi ya uumbaji.
Yohana 1:1-3
"Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwa kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika."
- Wakolosai 1:15-17
"Kwa kuwa katika yeye vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo duniani... vitu vyote viliumbwa kwa njia yake na kwa ajili yake."- Waebrania 1:2
"...kwa njia yake aliuumba ulimwengu."- Waebrania 1:10
"Wewe, Bwana, hapo mwanzo uliutia misingi ya nchi, Na mbingu ni kazi ya mikono yako."- Ufunuo 3:14
"Yeye ni mwanzo wa kuumba kwa Mungu."- 1 Wakorintho 8:6
"...Bwana mmoja Yesu Kristo, ambaye kwa yeye vitu vyote vimekuwapo."- Yohana 1:10
"Ulimwengu ulifanyika kwa yeye, wala ulimwengu haukumtambua."- Mika 5:2
"Kutoka kwako kitatoka kwake atakayekuwa mtawala katika Israeli, ambaye asili zake zimekuwa za tangu milele."
- Inahusisha Yesu na milele, akionyesha uhusiano wake na uumbaji.
- Zaburi 102:25 (iliyorejelewa katika Waebrania 1:10)
"Hapo mwanzo uliutia misingi ya nchi, Na mbingu ni kazi ya mikono yako."- Isaya 9:6
"...naye ataitwa... Baba wa milele, Mfalme wa amani."
- Yesu akiwa Baba wa milele, anahusiana na kazi ya kuumba.
- Waefeso 3:9
"...Mungu aliyeumba vitu vyote kwa Yesu Kristo."- Zaburi 33:6
"Kwa neno la Bwana mbingu zilifanyika."
- Yesu ni Neno la Mungu.
- Mithali 8:22-31
"Bwana alinipata mwanzo wa njia yake, Kabla ya matendo yake ya kale."
- Inahusisha Hekima na Yesu kama mshiriki wa uumbaji.
- Warumi 11:36
"Kwa maana vitu vyote vyatoka kwake, na kwa yeye, na kwa ajili yake."- Ufunuo 4:11
"...kwa kuwa wewe ndiwe uliumba vitu vyote, na kwa mapenzi yako vilikuwako na kuumbwa."- Yohana 17:5
"Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja na wewe mwenyewe kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako."
- Yesu alikuwa na Mungu kabla ya uumbaji.
- Ayubu 38:4-7
"...Nilipoiweka misingi ya dunia... nyota za asubuhi ziliimba pamoja."
- Yesu, akiwa Neno, alihusika.
- 1 Petro 1:20
"Alijulikana tangu kabla ya kuwekwa msingi wa ulimwengu."- Yohana 8:58
"Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, kabla Abrahamu hajakuwako, Mimi niko."
- Yesu ni wa milele, na uumbaji unamhusu.
- Mathayo 28:18
"Yesu akaja kwao, akasema, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani."BWANA YESU ATUKUZWE
- Kama Muumbaji, Yesu ana mamlaka juu ya vitu vyote.
Knowledge has no finish line. I will mkuu.Kwenye kusoma biblia tuwe tunajaribu kusoma kwa kutumia principal of context.
Soma SURA YA 3 NZIMA.
Huo ndio utaratibu mpya wa kusamehe dhambi kwa mwanadamu ulio anzishwa na Mungu. Ili usamehewe dhambi lazima utoe kafara ya damu.Unahisi dhambi zinasameheka kirahisi hivyo?
Dhambi zetu zipi tulizosamehewa, hizi tunazozitenda sasa ama zile ambazo hatukuzitenda sisi bali waliopita kabla yetu? ... Ikiwa ni hizi za sasa basi hata kutomkiri ni dhambi basi pia na yenyewe itakuwa imeshasemehewa. Ikiwa ni zile walizotenda kabla yetu sasa hizo Mungu angetuhukumu vp kwa makosa ambayo sio yetu?Aliuliwa ili apate kubeba dhambi zetu tupate kusamehewa. Mpaka hivi sasa tumesha samehewa dhambi zetu kupitia yeye. Ni swala la kumwamini ya kwamba ni BWANA NA MWOKOZI WETU. JINA LA BWANA LIHIMIDIWE MILELE. AMINA
Zote zilizopita, za sasa na zinazokuja.Dhambi zetu zipi tulizosamehewa, hizi tunazozitenda sasa ama zile ambazo hatukuzitenda sisi bali waliopita kabla yetu? ... Ikiwa ni hizi za sasa basi hata kutomkiri ni dhambi basi pia na yenyewe itakuwa imeshasemehewa. Ikiwa ni zile walizotenda kabla yetu sasa hizo Mungu angetuhukumu vp kwa makosa ambayo sio yetu?
Bottom line, kulikuwa na haja gani ya yeye kuuliwa ndo Mungu atusamehe? tena in advance (ikiwa ni dhambi hizi zinazotendwa sasa) ... this doesn't add up kabisa.
Aliuliwa ili apate kubeba dhambi zetu tupate kusamehewa. Mpaka hivi sasa tumesha samehewa dhambi zetu kupitia yeye. Ni swala la kumwamini ya kwamba ni BWANA NA MWOKOZI WETU. JINA LA BWANA LIHIMIDIWE MILELE. AMINA