masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,173
- 13,776
Kitendo na hukumu iliyowaangukia wachina wa meno ya tembo ni isgara tisha kuwa sasa mahakama zetu zinaendana na msimamo wa Hapa Kazi Tu!
Hata Rsis Magufuli alilalamika kuwa mhalifu anajanatwa na vidhibiti, halafu Mahakama inaendekea kuisgsua kwa kuendesga kesi miaja nenda rudi, ikiwa ni kiashirio cha mazingira ya kutengeneza rushwa.
Wachina wawili Yu Fujie na Huan Gin, jana wamekula mvua 30 kwa kukutwa na meno ya tembo wapatao 226, yenye thamani ya tshs 5.4 bilioni.
Hongera kwa hakimu mfawidhi Cyprian Mkeha kwa kuondoa shaka yoyite juu ya wahalifu hawa maana walipokamatwa walitaka kuwapa rushwa polisi ya tshs 30 milion.
Source: Mwananchi, pg6 ,19/3/2016