Yes means yes, sheria mpya California

MtamaMchungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
10,140
Reaction score
15,098
Hatimaye leo imepitishwa sheria mpya Jimboni California katika juhudi za kupambana na ubakaji hasa katika vyuo.

Kiufupi ni kwamba kama mwanamke hajasema Ndio kwa maneno au kwa lugha ya ishara("Nodding") au kumsogelea mwenzi wake "Consent can be non verbal, such as a nod of the head or moving in closer to the person".

Kuna mengi ila najiuliza, kama hizi sheria zikiletwa hapa Tanzania huko mtaani atabaki nani?

Ubakaji ni kitu kibaya lakini hii sheria sijui inatekelezeka vipi? Itakuwa ni jukumu la wanaume kutembea na video camera na kurekodi hizo consent, lakini bado asubuhi akisema nilikuwa nimelewa, bado una kesi.


Source:dailymail


http://www.dailymail.co.uk/news/art...-California-college-students-consent-sex.html
 
When I first heard this I was like 'dayuum, California is in a league of its own'.
 
Yap!, that's the deal, even if you're 'in the middle of it' and she says stop!, you better stop your a$$
 
Yap!, that's the deal, even if you're 'in the middle of it' and she says stop!, you better stop your a$$

You gotta be kidding me Cuzzo!

Ain't nobody stopping and pulling out in the middle of the horizontal boogie!
 
Reactions: kui
California kuna hadi sheria ya maji ..mwisho lita 50 kwa siku...
 
You gotta be kidding me Cuzzo!

Ain't nobody stopping and pulling out in the middle of the horizontal boogie!

Lol!, we Cuzzo wewe, thanks for the new vocab ya mauno....lol!
But yea, it doesn't matter if you're 'almost there' better pull out before pulled in, behind bars
 
...loh! sasa kwa wale wa niangusage sambi sako mwenyewe! hiyo inachukuliwa! ni NDIYO au ni HAPANA?

"nakumbuka enzi hizo..."
 
hii sheria kibongo bongo wengi 97% tutakua tunaonekana wabakaji
 
hivi ile ya kukonyeza mtu sawa na kummbaka iliishia wapi Tz?
 
Mimi ndio nimezowea style ya "niangusage" sasa hiyo sheria ikija huku tutafukuzia michepuko kwa miaka 10. maana wengine hawajui kukubali, ukiona anakula vidole au anachora chini unamkata mtama tu inakuwa "sambi sako mwenyewe".
 

ahaaaaa eti watembee na video kamera kazi mnayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…