Yericko Nyerere ajitenga na CHADEMA

Kwani Yericko hakuteuliwa na chama chake kugombea Ubunge? Chadema hammfanyia fair Mkulima mkuu wa Bamia Mbutu mpaka Kilimahewa.
 
Jiwe ameharibu ustaarabu wa nchii hii anapaswa kujiuzulu mara moja.
Ustaarbu gani kama mnataka hakibya kusema si mwende mkawaseme wazazi wenu kwani lazima mmseme magufuli?
 
Mkuu hebu tuangalie haya maendeleo mnayojivunia
Maendeleo ya nini?
Shukuru Mungu unakula milo mitatu
Shukuru Mungu watoto wako wanasoma au wana cha kufanya
Shukuru Mungu wewe si Ndugu wa Ben Saanane Akwilina Azwory nk
Shukuru Mungu wewe waijua kesho yako
Shukuru Mungu wewe ni msukuma
Shukuru Mungu unajisikia Amani moyoni wakati wengine hawana Amani
Mmeshika mpini wananchi wameshika makali


Kila la Heri kwenda kufanya MAMBO October 28 kwa maneno yako mwenyewe sijui ni mambo gani mtafanya

Mungu yupo
Mungu ni wa wote wenye mwili
Mungu wa haki atainuka siku moja na hasira
 
Ustaarbu gani kama mnataka hakibya kusema si mwende mkawaseme wazazi wenu kwani lazima mmseme magufuli?
Kwa akili yako hujaweze hata kuona upuuzi unaofanywa kwa wagombea wa upinzania nchi nzima?
 
Katika comment zako naona wewe ni mfia dini, sasa kwanini msiende milimani mkakeshe mumuombee asiharibu nchi na miaka ndio hiyo inayoyoma na maisha ya watanzania bado yale yale
Kama huoni ushenzi unaofanywa katika uchaguzi huu yawezekana na wewe ni mshenzi.
 
Wewe mwenyewe umeona jinsi ilivyo vigumu kwa mtu wa kawaida kama wewe kupata nafasi ya kuwania ubunge kwa kuambulia kura 2 tu, halafu bado unamsifia jjiwe tu? Kwa kuwa ni homeboy?
 
Kama huoni ushenzi unaofanywa katika uchaguzi huu yawezekana na wewe ni mshenzi.
Baba Paroko, kumbe nawe uko vizuri kwenye matusi. Ushauri nendeni mkakeshe milimani huko na manabii wenu mumuombee ili asiendelee kuufuta upinzani nchini. [emoji23][emoji23]
 
Kamanda tulia uone jinsi Tundu anavuostaafishwa siasa mapema
T

Vipi wanaompamba jiwe mchana usiku wako nasi wakisubiria Oct 28 wamtie adabu vilivyo?

Wewe hao hawaoni?

Hizi teuzi hizi ...

Hiiiii bagosha!
 
p kuna karma inakuandama si bure
 
Umejitahidi sana kuwa popo maana ana mabawa na anaruka kama ndege lakini yupo jamii ya wanyama. Wewe ni journalist na unafahamu umuhimu wa freedom of press. Wajua jinsi hiyo freedom ilivyowekwa kapuni na hivyo industry yako wewe mwenyewe ilivyokuwa rubished na huyu myopic leader. Pia, biashara zako wewe binafsi zimekuwa targeted by the same person you keep eulogizing.

Anyway, waswahili wanasema, sisi watanzania ni watu wanafiki sana.
 

October hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Ulitakiwa kutengeneza msiba wa Taifa, ila nakuhakikishia tabia yako imekutengenezea msiba wa mtaa.
 
Siku zote life is a struggle for existence and survival is for the fittest. To be fit, one has to be adaptive to the changing environments.

Angalia tarehe ya bandiko hili
Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…