Yericko Nyerere aache upotoshaji

Ninajibu upotoshaji wake ,sina haja ya kuandika uzi Nina jibu upotoshaji akiacha Sina shida sababu we are all happy kuona strong unity !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina jua ni Mchange Mkurugenzi wa Gazeti hilo anafanya mambo yake anatumika na wanaomlipa huko dhidi ya wapinzani hivyo , mengine zaidi ya hapo ni upotoshaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Huoni kwamba hii tabia ya kila anayetoa maoni tofauti na mnachokiamini kudai anatumika, inaonesha ni kiasi gani ninyi wenyewe hamna demokrasia mnayoihubiri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupo kujenga umoja na mshikamano nondo wewe ndio chipukizi ndani ya chama nakushauli kama unahisi jambo uliloliona lisikia halipo sawa zipo mamraka za kushugulikia hapa wambea wengi KAMANDA tusiwape yakusema kama inawezekana ondoa uzi huu hapa jamvini
 
Ila kwakweli ACT ni mtego kwa upinzani CDM wanatakiwa kuwa macho Sana kuliko ilivyo kawaida 2020 mi naona Kama CCM wanataka kutengeneza chama kingine cha upinzani bungeni iyonekane vyama vya upinzani ni vya msimu tu na si vya kudumu huu mchezo unataka ufanyike Kama nccr 1995,cuf mwaka 2000, Na chadema iwe 2010 to 2015 na nahisi lowasa alikuja kuharibu 2015 kwa makusudi.Uchaguzi wa 2020 chadema msipokuwa makini ACT ndo kitakuwa chama rasmi Cha upinzani bungeni na itakuwa msumali wa mwisho wa jeneza la upinzani na CCM kutawala milele
 
Huyo anaejiita Yericko Nyerere ana "sub psychiatric problem" inayojulikana kitaalam kama "grandiose delusion".

Ni aina ya uchizi unaomfanya mtu aamini kabisa kuwa yeye ni mtoto wa mtu maarufu.

Hatari ya tatizo hilo ni kuwa anaweza kuamini kuwa ana uwezo kama wa huyo "baba'ke" wa kufikirika. Au kwa kuamini kwake huko basi hufikia akajidanganya kuwa anaweza kufanya chochote na asifikwe matatizo kwa kuwa "baba'ke" ni maarufu.

Watu Kama huyo hufikia mpaka kujibadilisha jina lake la kupewa na wazazi wake kabisa na kujipachika jina hilo la u "grandiose delusion".

Mtu wa aina hiyo huwa ni hatari sana kwenye jamii.
 
KWA BANDIKO HILI NIMEANZA KUAMINI YERICKO ALIKUWA SAHIHI MNATAFUNANA WENYEWE KWA WENYEWE. ...mchange yupo very loyal kwa zitto so kuna mchezo hapo mjiangalie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NDUGU @⁨Abdul Nondo⁩

Nimesoma kwaumakini neno kwa neno kinachoitwa majibu yako kwa Yericko,
Ulichokifanya, UMECHAMBUA VITABU kwa mifano ya MTU na Kumuhusisha YERICKO.

SIJAONA ukijibu Hoja zangu

JAMVI LA HABARI linachafua Upinzani, Na kuwakashifu Viongozi wa Chadema, na pengine mpaka wa ACT (kwageresha), lakini SEHEMU YA BOARD YA WAHARIRI yumo AFISA HABARI wa CHAMA cha ACT

Nilichofurahi umekubali kuwa aliwahi kufanya kazi katika gazeti tajwa, lakini Nilitaraji kuona majibu kama Abdalah Khamisi ni Sehemu ya WAHARIRI kazi alianza Lini na Akaacha Lini.

Na Katika BOARD YA WAHARIRI WALIOSAJIRIWA Habari Maelezo, Je Abdalah Hamisi hatambuliki Kama Mhariri wa JAMVI.

Kama aliacha kazi kweli, wekeni hapa Barua za Kuacha Kazi au Kujitoa na UHARIRI.

TOFAUTI na Hivyo mnatwanga maji kwenye kinu tu.

Na Yericko Nyerere
 
Abdul Nondo na Yericko Nyerere na Wapinzani kwa ujumla wenu naona sasa mmeshaanza Kuvurugana na taratibu mnaanza kutafutana Uchawi. Mkiwa mnaambiwa kuwa Chama cha CCM kimejaa ' Mafundi ' watupu wa kujua nini cha Kufanya ili mvurugike vizuri muwe mnaamini. Wala huhitaji sasa Akili kubwa kujua kuwa tayari kuna ' Visununu ' vimeanza kati ya CHADEMA na ACT kitu ambacho ni Faida kubwa mno sana kwa CCM. Namwomba Mwenyezi Mungu muendelee hivi hivi Kuvurugana nyie Wapinzani.
 
kwa aina hii ya wapinzani wanaoshambuliana wenyewe kwa wenyewe (wanashindwa hata kua na umoja aa kinafiki) CCM bado inamiaka mingi sana ya kutawala, maana hakuna namna ya kuiondoa CCM bila umoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndio ukweli.. Inabidi usemwe na tuwekane sawa. Kujisahaulisha hakusaidii.
Cc Abdul Nondo.
 
Ukweli usiwe mchungu kwani jambo lako wazi kama ameacha kumika awaombe radhi Chadema kwani yy sio Mtu wa kwanza kukosa,
Msamaha utamweka huru zaidi na kumwimarisha .


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Team Zitto na team Mbowe wanapasuana!
 
Ndugu Msanjila,

Mbona kitendo cha Seif kwenda ACT kumekuuma sana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…