Tatizo ni kweli hiyo ni nguvu ya umma? maana inaweza kuwa ni vibaraka tu kwa masrahi ya nchi za magharibi, tuwe waangalifu sana na hiki kitu kinachoitwa nguvu ya umma. Chukulia mfano libya,hivi ile ni nguvu ya umma kweli? miye naona ile si nguvu ya umma bali ni vibaraka wachache wamepandikizwa, wengine wanafuata mkumbo tu, majuto mjukuu.