FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,416
- 7,828
Takribani wanajeshi 75 wameuawa kwenye shambulizi la kombora lililorushwa na wanamgambo wa Houthi kwenye msikiti katika jimbo la Marib nchini Yemen.
Vyanzo vimeliambia shirika la habari la AFP kwamba wanamgambo hao waliushambulia msikiti uliopo kwenye kambi ya kijeshi, takriban kilomita 170 mashariki mwa mji mkuu Sanaa wakati wa swala za jioni hapo jana.
Vyanzo kutoka hospitali ya Marib ambako miili ya wanajeshi na majeruhi ilipelekwa vimethibitisha idadi hiyo. Rais wa Yemen Abedrabbo Mansour Hadi amelaani shambulizi hilo akiliita ni la kijinga na la kigaidi hii ikiwa ni kulingana na shirika la habari la serikali la Saba.
Maelfu ya watu wengi wao wakiwa ni raia wameuawa na mamilioni kukimbia makazi yao tangu mwaka 2015, wakati Saudi Arabia na washirika wake walipoingilia mzozo nchini humo wakiiunga mkono serikali dhidi ya waasi hao wa Houthi.
====
Houthi rebels kill at least 70 Yemeni soldiers in missile attack on mosque
Military sources say the attack came during evening prayers at a military base in Yemen’s Marib province.
Houthi rebels have killed at least 70 Yemeni soldiers in a missile attack on a mosque in the central province of Marib, according to medical and military sources.
The Houthis attacked a mosque in a military camp in Marib – about 170km (105 miles) east of Sanaa – during evening prayers on Saturday, military sources said.
A medical source at a Marib city hospital, where casualties were transported, said that at least 70 soldiers were killed in the strike.
Yemen’s internationally recognised government – backed by a Saudi-led military coalition – has been battling the Iran-backed Houthis since 2014, when the rebels seized the northern capital of Sanaa.
Yemeni president Abd Rabbu Mansour Hadi condemned the “cowardly and terrorist” attack, according to the official Saba news agency. The report did not give a death toll.
“The disgraceful actions of the Houthi militia without a doubt confirm its unwillingness to (achieve) peace, because it knows nothing but death and destruction and is a cheap Iranian tool in the region,” it quoted Hadi as saying.
The Houthis did not make any immediate claim of responsibility.
Tens of thousands of people, mostly civilians, have been killed and millions displaced since 2015, when Saudi Arabia and its allies intervened in the conflict to back the government against the Houthi rebels.
The conflict, which the United Nations says has caused the world’s worst humanitarian crisis, has pushed the country to the brink of famine.
Sources: DW | The Guardian