Yawezekana Clinton ni mgonjwa masikini

Yawezekana Clinton ni mgonjwa masikini

kabwinyola

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
560
Reaction score
682
Huyu mama nilidhani angeleta ushindani lakini nimepitia uzi mmoja hapa muda si mrefu naona, maji ya shingo, kulingana na maelezo ya mchambuzi mmoja hapa.

"Katika uchaguzi huu mtu anaye pull a string ni Clinton Mr. amepania mkewe ashinde alafu yeye ndiye atawale akiwa nyuma ya pazia.

Anajua wazi mkewe ni mgonjwa wa kifafa aliyoupata miaka mnne iliyopita baada ya kudondoka na kubamizwa kichwa sakafuni, alipata brain concussion na blood clot kwenye Ubongo walimfanyia operation ya kutoa clot lakini hali yake bado haijatengamaa, madaktari bingwa wanasema kuanguka kwake sakafuni kilisababishwa na stroke.

Ugonjwa wa kifafa ujitokeza in mild form wakati mwingine anakuwa na bizzare behaviour wakati mwingine ana freeze kwa sekude kama thelathini akiwa ameshikiria mike, walinzi wake wakiona hivyo wanamuwahi kimshikilia - cha ajabu wapiga kura wake health condition ya Hillary Clinton wala hawaiwekei maana ni hata kidogo"

Mitandao na wa Marekani wanahoji afya yake na wanataka kujua ukweli, 59% ya wapiga kura wa Marekani wamesisitiza wanataka kujua afya yake.
 
Kwa umri wa miaka 69,hawezi kosa ugonjwa kwa kweli,
Ila juzi alipiga kikohozi kama dakika 5 hivi akasema akimfikiria Trump anapata allergy.hahaha
Mi nahisi Afya yake haiko poa na kachoka na kampeni.
Hata TZ Watu walisema Eddo mgonjwa lakin kampeni zilivo isha ana ng'aa na anaonekana ana nguvu.

*nionavyo mimi lakini.
[HASHTAG]#trump2016[/HASHTAG]
 
Mkuu Mzee Sumaye alishawahi kusema Ikulu hatuendi kubeba zege. Cha muhimu kujiuliza ni je, huo ugonjwa ni severe kiasi cha kumfanya ashindwe kutimiza majukumu yake kama raisi.

Uzuri Uraisi ni taasisi, hasa kwa nchi kama Marekani huyo mama hawezi kuongoza nchi peke yake.
Kuhusu suala la kuumwa yeye hatakuwa wa kwanza na wa mwisho.

Jimmy Carter naye alikuwa anaanguka sana akiwa anahutubia lakini alimaliza kipindi chake cha miaka minne vizuri tu. Roosevelt F.D aliugua Polio na akatumia Wheelchair lakini ndiye raisi pekee aliyeifanya Marekani iwe hivi leo . Tena na kuumwa kwake alitawala U.S.A miaka kumi na tatu na kufia ofisini kwa ugonjwa.
 
Mkuu,US ni tofauti na uku kwetu. Kwao Rais ni taasisi inayoshirikiana na taasisi nyingine kuleta maendeleo na kutatua shida za wananchi.

Rais hana kazi kubwa za kufanya/kuzunguka ovyo kama uku kwetu.
 
Huyu mama nilidhani angeleta ushindani lakini nimepitia uzi mmoja hapa muda si mrefu naona, maji ya shingo, kulingana na maelezo ya mchambuzi mmoja hapa.

"Katika uchaguzi huu mtu anaye pull a string ni Clinton Mr. amepania mkewe ashinde alafu yeye ndiye atawale akiwa nyuma ya pazia.

Anajua wazi mkewe ni mgonjwa wa kifafa aliyoupata miaka mnne iliyopita baada ya kudondoka na kubamizwa kichwa sakafuni, alipata brain concussion na blood clot kwenye Ubongo walimfanyia operation ya kutoa clot lakini hali yake bado haijatengamaa, madaktari bingwa wanasema kuanguka kwake sakafuni kilisababishwa na stroke.

Ugonjwa wa kifafa ujitokeza in mild form wakati mwingine anakuwa na bizzare behaviour wakati mwingine ana freeze kwa sekude kama thelathini akiwa ameshikiria mike, walinzi wake wakiona hivyo wanamuwahi kimshikilia - cha ajabu wapiga kura wake health condition ya Hillary Clinton wala hawaiwekei maana ni hata kidogo"

Mitandao na wa Marekani wanahoji afya yake na wanataka kujua ukweli, 59% ya wapiga kura wa Marekani wamesisitiza wanataka kujua afya yake.
ingekuwa africa wangeshaamini kuwa ni ndumba. clinton ni mgonjwa, unakumbuka kipindi kile alishawahi kudondoka akiwa secretary of state hadi obama akamsimamisha/akambadili kazi na mtu mwingine. sipendi ashinde, wanawake wanajifanya wanaweza lakini siku zote wamesahau kuwa wao ni viumbe walioumbwa baadaye kabisa baada ya Mungu kutuona sisi wapweke. kama tusingekuwa wapweke wasingeumbwa kabisa. mtu aliyetoka ubavuni mwangu ndo anajifanya tuko sawa na mimi? wakati yeye ni kipande cha ubavu wangu tu hata sio nyama yote ya mwili wangu. aende huko akamtunze Mume amwache trump atawale marekeni. huyo ndiye atawatia adabu hata hao waarabu wanaojilipualipua mashariki ya kati.
 
mmh! siasa jamani hata John kipindi cha kampeni walisema ni mgonjwa wa moyo anatumia Moyo wa plastic na system yake ipo marekani mtu akihack hiyo system anapoteza maisha. lakini mpaka leo yupo japo changamoto ni nyingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom