Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 640
- 615
Kwani wapangaji wamelalamika au nongwa zako tu.Habari
Kuna hii tabia ya wapangaji kutojishughilisha/ kutoshiriki shughuli za kijamii katika maeneo waliopanga shida nini?
Mtu anapanga lakini hashiriki iwe msiba, harusi, kutengeneza barabara, kuchimba mtaro wa maji anasema hayamuhusu anayehusika ni mwenye nyumba hii iko sawa kweli? Haya mtaani jamaa kafiwa na mzazi wake maiti ipo mwananyamala hosp nyumba yote ni wapangaji tupo pia kila mtu na zake, majirani wanapita kafunga turubai ni yeye na nduguze toka jpili leo ndio wanazika, wamepita juu kwa juu toka mwananyamala hadi makaburini, jibu analo, huko FC dada kafiwa na mtoto kapakia maiti kwenye daladala wakagoma, pesa ya kukodi usafiri hana wala jeneza, mtaani wamemsusa kwavile hashirikiani nao, inabidi wana FC waitane kwenda kumfariji na kuona jinsi ya kuzika. Tunajenga kizazi cha aina gani? Ukiwa mpangaji ndio huruhusiwi kuchangamana na jamii inayokuzunguka kweli, yakikufika utafanyaje?
Huko Fc ndio wapi?huko FC dada kafiwa na mtoto kapakia maiti kwenye daladala wakagoma, pesa ya kukodi usafiri hana wala jeneza, mtaani wamemsusa kwavile hashirikiani nao, inabidi wana FC waitane kwenda kumfariji na kuona jinsi ya kuzika.
Unataka kusemaje?Tuna kizazi cha hovyo sana sasa hivi,si cha watanzania wale, huenda hiki kizazi ndiyo kile kilichokaa bweni tangu shule ya msingi, yaani si adabu si maadili,hakina chochote wala upendo kwa ndugu, hakina uzalendo
Sidhan kama unajua upweke wa kususiwa msiba.Mimi sioni shida hapo kikubwa marehemu kazikwa
Hao watu watataka upike pilau moja kubwa wale washibe kama huwalishi, msiba mwingine hawajiSidhan kama unajua upweke wa kususiwa msiba.
Msiba ni watu.
Mambo ya kishambaHabari
Kuna hii tabia ya wapangaji kutojishughilisha/ kutoshiriki shughuli za kijamii katika maeneo waliopanga shida nini?
Mtu anapanga lakini hashiriki iwe msiba, harusi, kutengeneza barabara, kuchimba mtaro wa maji anasema hayamuhusu anayehusika ni mwenye nyumba hii iko sawa kweli?
Haya mtaani jamaa kafiwa na mzazi wake maiti ipo mwananyamala hospitali nyumba yote ni wapangaji tupo pia kila mtu na zake, majirani wanapita kafunga turubai ni yeye na nduguze toka jpili leo ndio wanazika, wamepita juu kwa juu toka mwananyamala hadi makaburini, jibu analo, huko FC dada kafiwa na mtoto kapakia maiti kwenye daladala wakagoma, pesa ya kukodi usafiri hana wala jeneza, mtaani wamemsusa kwavile hashirikiani nao, inabidi wana FC waitane kwenda kumfariji na kuona jinsi ya kuzika.
Tunajenga kizazi cha aina gani? Ukiwa mpangaji ndio huruhusiwi kuchangamana na jamii inayokuzunguka kweli, yakikufika utafanyaje?
Kuna jamaa alikuwa akifika msibani anatoa rambirambi na michango tu huyoo anaendaMchawi pesa
Kama unazo, unafunga vioo tu
Kama hana, basi atakuwa anaumwa ule ugonjwa wa wapiga punyeto unaitwa Introvert
Mbona kwa wazungu msiba ni watu watano mpaka kumi na maisha yanaenda vizuri sana kila mmoja ana uwezo wake wa kimaisha na nchi zao zinazidi kuwa na uchumi mkubwa sanaKuna jamaa alikuwa akifika msibani anatoa rambirambi na michango tu huyoo anaenda
siku yalipomfika nae kila mwana nzego anatoa mchaango wake na kuondoka hadi ndg zake wakawaita wazee kuwauliza wale wazee ndo wakasema tabia za ndg yao.
Promondo likalia upya jamaa kajihukumu ng'ombe 2 wakubwa nakuomba msamaha kwa jamii.
Tangu siku hiyo yakitokea yakutokea yeye ndo utamkuta kashafika muda! Amekuwa mdau mzuri wa kutununulia karata hadi pakiti 10 ili tubaki active msibani.
Usiku hukodi wauza kawaha kuja msibani kutuhudumia.Hili ni funzo kubwa sana mkuu.
Nadhani hujawahi fiwa wewe akili hufika mwisho bila msaada wa watu/jamii unaweza wehuka
Kwahiyo nawewe umekuwa mzungu?Mbona kwa wazungu msiba ni watu watano mpaka kumi na maisha yanaenda vizuri sana kila mmoja ana uwezo wake wa kimaisha na nchi zao zinazidi kuwa na uchumi mkubwa sana
Haya mambo ya kujazana kwenye misiba yamepitwa na wakati, ni sisi watu weusi tunaendekeza huku wengi wanakuja kula msosi na kutia hasara tu, hawana faida yoyote.
Kwani wakijaa hapo nyumbani ndio marehemu atafufuka, ni ushamba tu.