Yataka Moyo

nahisi hii mada hujaijua mwelekeo wake Bufa

Naona sandals za watoto zenye rangi ya ccm na kandambili zenye nembo ya WhatsApp, sasa sijui sijaelewa nini. Nahisi u the one who missed the sarcasm here
 
tazama avatar yangu Bufa utaanza kuelewa

Ooh unaongelea match ya simba vs yanga sio.. I'm not really into bongo soccer nilijua ni kuhusu siasa na bila shaka wewe ni shabiki wa simba, kila la kheri kwa timu yako
 
Ndugu zangu Brazil na yanga niliwapenda sana kwa rangi zenu,lakini kwa sasa mnisamehe.ntavaa hata pink poa.
 
Kusema kweli rangi hizi sizipendi tangu nikiwa mdogo nikinunuliwa nguo ya rangi hizo nilikuwa nalia. Nikaanza form one boarding nikakuta masinki chooni ni ya njano kwa uchafu na bafuni kuna ukungu wa kijani katika kuta kwa uchafu, ndio kabisaaa nikazichukia moja kwa moja yaani....
 
Amavubi nasikia simba inapopolewa tu na yanga ha-ha
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…