Yas postpaid na unlimited internet

Yas postpaid na unlimited internet

Benaya Albert

New Member
Joined
Aug 8, 2025
Posts
2
Reaction score
0
Watumiaji wa Mtandao wa YAS (tigo) mnaohitaji UNLIMITED INTERNET au vifurushi vya POSTPAID niwaunganishe BURE kabisa nyie kazi yenu ni kulipia BILL mwisho wa mwezi, Sikudai hata mia zaidi we tafuta hela ya kulipia bili tu ya kifurushi ulichokipenda. Na bili yenyewe unawalipa Yas mwenyewe hukohuko uliko.

Kwakifupi mimi sitakuambii unitumie hela yako ata kidogo. Nitafuteni wasap chapu 0717000200
 
Attachments

  • IMG-20250720-WA0007.jpg
    IMG-20250720-WA0007.jpg
    100.3 KB · Views: 25
  • IMG-20250720-WA0006.jpg
    IMG-20250720-WA0006.jpg
    86.5 KB · Views: 30
Watumiaji wa Mtandao wa YAS (tigo) mnaohitaji UNLIMITED INTERNET au vifurushi vya POSTPAID niwaunganishe BURE kabisa nyie kazi yenu ni kulipia BILL mwisho wa mwezi, Sikudai hata mia zaidi we tafuta hela ya kulipia bili tu ya kifurushi ulichokipenda. Na bili yenyewe unawalipa Yas mwenyewe hukohuko uliko.

Kwakifupi mimi sitakuambii unitumie hela yako ata kidogo. Nitafuteni wasap chapu 0717000200
Ngoja nichangamke maana nimetoka kukata gb 2 za Yas sasa hv kwa ku stream mechi ya dakika 90 ya Man UTD vs Fiorentina. Ni hasara.
 
Karibu kuna unlimited ya 70k wanakupa speed ya mbps 10 kaka. Hiyo haina cha kuhogia GB zako kuisha mana ni unlimited. Ni ww na chaji yako tu. WhatsApp 0717000200
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom