MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,228
- 50,369
Huyu mrembo yaani hayo macho yake huniacha hoi, yanadunga hadi penyewe. Mtoto wa watu kaumbwa na kuumbika, halafu nyimbo zake na sauti yake huwa zinafanya najikuta bila uwezo wa kubanduka kila nikizicheza.
Sasa nini kimemsibu hadi kachizi tena, inaniuma aisei. Jamii inafaa kumhurumia na kumsaidia, nakumbuka hata rais mstaafu JK alijaribu kumsaidia, sijui yalishindikana vipi.
Hii video hapa inatia huruma....
Video: Tanzanian songstress Ray C taken into custody by police as she allegedly tries to commit suicide
cc: kui