Habari zenu Great Thinkers Najua humu kuna wataalamu mbalimbali wa mambo ya ardhi, sheria n.k , na wengine ni wazoefu wa haya mambo hata kama hawapo kwenye sekta yoyote rasmi. Naomba kujua kwenu mambo ambayo mtu anatakiwa kuzingatia anaponunua nyumba, shamba au kiwanja kutoka kwa mtu mwingine...