SHADOWANGEL
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 528
- 354
Kuomba pesa
tatizo la kuchepukA
Tangu tatizo likasifishwa na kuitwa la kawaida???
kulea mtoto si wako
Apa Labda wako afanyi kazi, kama anafanya kazi kwa nini aniombee hela.. kila mtu na zake
Apa Labda wako afanyi kazi, kama anafanya kazi kwa nini aniombee hela.. kila mtu na zake
Hata km nafanya kazi huwajibiki,utasugua kiatu sana kuniweka utakavyo.
Mkuu km ni mwanaume kuombwa PESA na MKE niwajibu wako,,,! hata km anapesa wewe unawajibika kwake