Yapi Malengo ya dhidi ya Africa?!

Gwanggaeto the Great

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2018
Posts
901
Reaction score
1,936
Serikali ya China Chini ya XI Ilisemakuwa Itayasamehe MATAIFA Masikini na yaliyoelemewa na Madeni , haya yalisemwa huko Beijing China .

Lakini Serikali hiyo ya Ilisema Itatoa $B.60 Mikopo ( Mortgage) kwa Mataifa ya Africa, kwa ajili ya kuendesha Miradi mbali mbali ya Africa pasina kuingilia Masuala ya Kisiasa.

Shirika la Umeme la Zambia (ZESCO) Li mbioni kumilikiwa na China kufuatia Ongezeko ya Madeni, Taarifa zinasema tayari shirika la Utangazaji la Zambia (ZNBC) Lipo chini ya China.
Niwaonavyo Hawa Wachina Wanakuja kutufilisi hata kwa Vidogo tulivyokuwanavyo maana yake Tusipokuwa Makini Tutarudishwa kwenye Ukoloni wa Kale, mfano Hapo Kenya Tumeshuhudia Wakenya Wakibaguliwa Kihali, Kiakili na Kirangi Nchini kwao tena wamefungua Migahawa ambayo mkenya(Mtu Mweusi) kuingia mwisho saa 17:00 Wakenya wamekuwa Wakipigwa Kwenye Ujenzi wa SGR. Wanafanya hivyo sababu wanajua fika nchizetu haziwezi fanya Lolote kutokana na ndoano yaMadeni dhidi ya nchi yao.

Serikali kali zetu zisipokuwa Makini Tutarudishwa tulipotoka kwa Mitego ya Mikopo.

Swali hili nililouliza nahitaji Ufafanuzi ( Economist) Inawahusu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…