Ungenipa nafasi nikakueleza alionitenda huyu mwanamke hayo ulotendwa weye yangekuwa cha mtoto. Lakini ati bado nampenda, nikiangalia vitoto vyetu tulivyo jaliwa na Mola, Mhhh si haba kuvumiliana mpaka kieleweke.
Nilikasirika mpaka nikapofuka macho kwa kuviba. Unajua, nilijikuta kwenye mlango wa mchepuko wa zamaniiii, nkashtuka nkamrudia yule kichaa wangu. Mrudie kichaa wako huyo, hakuna mwingine wa kukufaa