Ofisi au kanisaMagari ya wafagizi na walinzi hayo
Ofisi hasa za freemason ziko ununio hapo posta ni registerd office tu
Hao wafagizi na walinzi siyo members? Au ukiwa freemason mfagizi au mlinzi unapewa kautajiri kadogo?Magari ya wafagizi na walinzi hayo
Ofisi hasa za freemason ziko ununio hapo posta ni registerd office tu
Ni fikra zako tuuuuuuuuuJuzi kati nkipita mitaa ya posta, huku dar, maeneo karibu na benki kuu nikaona jengo jeupe limeandikwa freemasons hall, nkajisemea akilini, mitandaoni watu wanasema Freemason wanaabudu shetani na ukijiunga huko unapata utajiri, dooh nikaangalia vizuri ndani ya fensi ya ile jengo nkaona Passo, statlet, escudo na magari yanayofanana na hayo yamepaki nje..nkasema wenye haya magari lazma watakua ni member wa freemason coz wamepaki ndani ya fens ya jengo
Nkaona huu upumbavu, bora ukope au u-hustle mwenyewe ununue paso, sasa unamwabudu shetani, unatoa kafara za damu ya watu, hlf unaendesha Passo, Sasa si bora uwe raia wa kawaida
Ukitoa damu ya ndugu yako na wewe watoto zako wakikua lazima wakutoe roho.Juzi kati nkipita mitaa ya posta, huku dar, maeneo karibu na benki kuu nikaona jengo jeupe limeandikwa freemasons hall, nkajisemea akilini, mitandaoni watu wanasema Freemason wanaabudu shetani na ukijiunga huko unapata utajiri, dooh nikaangalia vizuri ndani ya fensi ya ile jengo nkaona Passo, statlet, escudo na magari yanayofanana na hayo yamepaki nje..nkasema wenye haya magari lazma watakua ni member wa freemason coz wamepaki ndani ya fens ya jengo
Nkaona huu upumbavu, bora ukope au u-hustle mwenyewe ununue paso, sasa unamwabudu shetani, unatoa kafara za damu ya watu, hlf unaendesha Passo, Sasa si bora uwe raia wa kawaida
Hata shetani ana Mali pia,Ila zina mashartiShetani hajawahi kumiliki kitu zaidi ya hirizi yenye nywele za kwapani.
Hata unaona wana vitu wame hustle tu. Kule ni ulaghai na baadae vifo
Google maana ya neno registerd officeOfisi au kanisa
Juzi kati nkipita mitaa ya posta, huku dar, maeneo karibu na benki kuu nikaona jengo jeupe limeandikwa freemasons hall, nkajisemea akilini, mitandaoni watu wanasema Freemason wanaabudu shetani na ukijiunga huko unapata utajiri, dooh nikaangalia vizuri ndani ya fensi ya ile jengo nkaona Passo, statlet, escudo na magari yanayofanana na hayo yamepaki nje..nkasema wenye haya magari lazma watakua ni member wa freemason coz wamepaki ndani ya fens ya jengo
Nkaona huu upumbavu, bora ukope au u-hustle mwenyewe ununue paso, sasa unamwabudu shetani, unatoa kafara za damu ya watu, hlf unaendesha Passo, Sasa si bora uwe raia wa kawaida
Kwamba freemason wenye sifa za umilionea wanachukua bukubuku za parking?Dar watu wanapaki na kulipa inawezekana mwenye Passo amepaki Tu.
πππKwamba freemason wenye sifa za umilionea wanachukua bukubuku za parking?
HahahaUnakuta mtu amemtoa mtoto wake kafara huku anafanya biashara ya maandazi.