Yanga yavunja rekodi

Habari zenu bhaaana wanajangwani! Ina majotrooo!MMMBWA nyie aibu imewakumba ndio maana mnaongea km walevi tu;haiwezekani mtani kuliwa daku mzima mzima 2-karai.AIBU kubwa yaan ningekuwa mi ningeshabikia hata LIPULI ya Iringa kuficha hii aibu.

Hongereni simba kwa kutwaa kifuniko sisi tunatwaa makombe na sio vizibo.

mkuu utabiri wako n'meukubali;kweli we ni shekh Yahya.Lkn ili yanga wasiendelee kupakatwa itawabidi wakaondoe gundu bungeni hata km hawajashinda

Mkuu sio hata utabiri, mimi Yanga niliwaona Kagame zaidi ya mechi nne, beki ni mbovu sisi tulishindwa kuwafunga Kagame hatukuwa na washambuliaji hata kiungo chetu kilikuwa dhaifu baada ya Jerry Santo kuwa na red na Mwinyi Kazimoto kutolewa baada ya kuumia.

Beki kama Nadir Haroub akikutana na washambuliaji wazuri anapanic anachofanya ni kubutua, Nsajigwa na Joshua ni wazuri ila wakipanda wanajisahau kurudi mapema sasa wakikutana na washambuliaji wenye kasi kama Bunu wa JKT ruvu au Emmanuel Okwi unategemea nini? asipowafunga moja kwa moja basi watamkwatua kwa nyuma na kusababisha penati, waombe Nurdin Bakari arudi kwenye kiwango soon ili acheze sita lakini kama namba sita wataendelea kumchezesha Juma Seif Kijiko nyuma yake akiwepo Nadir Haroub pamoja na Chacha Marwa watafungwa magoli ya penati mengi tu.

kwani toka washinde tayari bao nane nilikuwa hata sijui kama kweli weka idadi hiyo kwa mechi ilituweze kuamini..

kwani toka washinde tayari bao nane nilikuwa hata sijui kama kweli weka idadi hiyo kwa mechi ilituweze kuamini..

Baada ya kutwaa ubingwa wa Kagame vipigo viliendelea kama ifuatvyo:
Polisi dodoma 2-1 Yanga
Al hilal 3-1 Yanga
Al hilal 3-1 Yanga
Yanga 0-2 Simba
Yanga 0-1 JKT Ruvu.

Jumla wameconcede goli 11 na kuscore goli 3 kwenye mechi tano.

Back
Top Bottom