kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,571
- 2,192
Usajili wa bongo magumashi kinoma!! Hapo kisa mikia fc walikua wanamtakaHili galasa limewezaje kutia sahihi jangwani???
Huyu mbona ameshazeeka kitambo, anakuja kufanya nini Jangwani?Usajili wa bongo magumashi kinoma!! Hapo kisa mikia fc walikua wanamtaka
Huyu mbona ameshazeeka kitambo, anakuja kufanya nini Jangwani?
Katika mzunguko wa kwanza Danny alionyesha kiwango kizuri na kuibeba sana Polisi.Nadhani ni wa kwanza au wa pili kwa ufungaji mpaka sasa.Apewe nafasi aonyeshe kiwango chake, sometimes ukubwa dawa, si unaona Drogba ndio Jembe tena pale Chalsea.
Huyu mbona ameshazeeka kitambo, anakuja kufanya nini Jangwani?
kupaisha au kumpelekea Manyika Jr mipiraKijana wetu Danny tumemtuma kazi maalumu Jangwani.
kupaisha au kumpelekea Manyika Jr mipira
Mpira wa bongo una vituko kama siasa,ndo maana Yanga wameona aibu hata kurusha magazetini,kimya kimya kama wauza bange
Hili galasa limewezaje kutia sahihi jangwani???
mm mwenyewe sjafurahi
mm mwenyewe sjafurahi
Mrwanda ilikuwa zamani kaka lakini sio sasa, nahisi ni Maximo ndiye aliyetowa wazo la kusajiliwa huyu jamaa...
Yanga tayari ina wachezaji wazuri mbele kuliko Danny isipokuwa ni namna ya kuwachezesha tu...