Yanga yamnasa dilunga


Timu inatakiwa iwe na wachezaji wengi (squad depth) ili ikitokea majeruhi timu isitetereke Bayern Munich wana viungo Kroos,Alcantara,Ribery,Roben,Martinez,Bastian,Gotze,Shaqiri mfano Gotze,Martinez na Thiago waliumumia lakini timu haijaathirika na kutokuwepo kwao.Mfano Simba walivyoumia Tambwe na Kaze Kibadeni akaanza kutoa visingizio
Tatizo kubwa la wachezaji wa Kitanzania wengi hawajitumi ndio maana ni vigumu sana Twite,Niyonzima,Kavumbangu au Kiiza kuwekwa benchi na kuwapanga kina Tegete,Bahanuzi au Javu.Wakati Ngasa anasajiliwa watu walisema Simon Msuva hana namba tena lakini ujio wa Ngasa umempa changamoto Msuva anazidi kuwa mchezaji mzuri
 
Dogo kaenda kuua mpira wapi bahanuz,javu?,tatizo bongo wanasajiri viongozi badara ya kocha,ukifuatilia sidhani kama kocha alimuhitaji huyu.

Mbona Ngasa,Msuva,Domayo,Luhende,Yondani viwango vyao ndio vinazidi kuongezeka?
 
Mwambie huyo,ama aseme ni wivu tu!
 
Dogo fundi sana yule na mwongo mwongo kama Niyonzima...nadhani kaletwa kuwa mbadala wa Haruna pale anapokosekana au pia huenda kaletwa kama false inside ten
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…