Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,826 Jul 25, 2014 #21 2hery said: "Sie" ndio nini? tuwe makini kutoa taarifa rasmi Click to expand... Sijakuelewa...Unaniuliza Mimi ama?...Hiyo taarifa imenukuliwa toka Official Facebook page ya Dar Young Africans..
2hery said: "Sie" ndio nini? tuwe makini kutoa taarifa rasmi Click to expand... Sijakuelewa...Unaniuliza Mimi ama?...Hiyo taarifa imenukuliwa toka Official Facebook page ya Dar Young Africans..
adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,946 Reaction score 5,382 Jul 25, 2014 #22 Kwa yanga hata sishangai si mara ya kwanza kukimbia mashindano. Ligi yenyewe ina mechi 14 halafu yanatokea mashindano unakataa kushiriki mambo ya ajabu sana
Kwa yanga hata sishangai si mara ya kwanza kukimbia mashindano. Ligi yenyewe ina mechi 14 halafu yanatokea mashindano unakataa kushiriki mambo ya ajabu sana
cnjona JF-Expert Member Joined Mar 24, 2014 Posts 1,027 Reaction score 239 Jul 25, 2014 #23 kwani huyu BIN ZUBEIRY si walimfungia kuandika habari za yanga?? bado anaendelea tuu!!??...Hizi habari kama hazina ukweli,YANGA wamshitaki huyu jamaa.
kwani huyu BIN ZUBEIRY si walimfungia kuandika habari za yanga?? bado anaendelea tuu!!??...Hizi habari kama hazina ukweli,YANGA wamshitaki huyu jamaa.
Ziroseventytwo Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 9,468 Reaction score 17,973 Jul 25, 2014 #24 Cc: ifa96 Last edited by a moderator: Jan 4, 2016