Yanga yaichapa 3, ankara sekerspor

Yanga yaichapa 3, ankara sekerspor

Tatizo wewe unaongea utoto.......Mimi naongea facts.....

Narudia tena, Akili ya uongozi wa Timu na mashabiki (ukiwemo wewe) inakuwa kwenye 'kumchapa' Yanga badala ya kufikiria kuchukua Ubingwa......

No wonder Simba iko nafasi ya 4 na Yanga iko kileleni.....

fact gani unazoongea wewe?mbona mlivunja bench la ufundi kwa kichapo cha simba pale taifa?alafu unakuja kuzungumza utumbo humu,elewa soka tz bado sana
 
Young Africans imeanza vizuri katika kambi yake ya mafunzo nchini Uturuki baada ya kuifunga timu ya Ankara Sekerspor kwa mabao 3-0 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika pembeni kidogo ya eneo ililofikia katika mji wa Manavgat Antalya.
Kocha wa Young Africans aliwatumia wachezaji 18 jumla katika mchezo huo ambao wenyeji mara baada ya mchezo walimpongeza kwa timu yake kwa kucheza vizuri katika mchezo huo wa kirafiki.
Dakika ya 10 ya mchezo shuti lililopigwa na mganda Emmanuel Okwi lilishinda mlinda mlango wa Ankara Sekerspor ambapo aliutema mpira huo na kumkuta Didier Kavumbagu aliyeukwamisha mpira huo wavuni na kuhesabu bao la kwanza.
Timu zote ziliendelea kushambuliana kwa zamu na mpaka dakika 45 za kipindi cha kwanza zinamalizika, Ankara Sekerspor 0 - 1 Young Africans.
Kipindi cha pili kilianza kwa kasi na iliwachukua dakika moja Young Africans kujipatia bao la pili la mchezo kupitia kwa Emmanuel Okwi aliyeitumia vyema pasi ya mwisho ya kiungo Mrisho Ngasa aliywatoka walinzi wa Ankara Sekaspor na kumpasia mfungaji ambaye hakufanya makosa na kuukwamisha mpira wavuni.
Dakika ya 58 kocha Mkwasa alifanya mabadiliko, ambapo waliingia Hamis Kizza na Nizar Khalfani kuchukua nafasi za Didier Kavumbagu na kiungo Hassan Dilunga.
Hamis Kizza aliipatia Young Africans bao tatu la mchezo na la ushindi dakika ya 61 ya mchezo baada mpira aliogongewa na Domayo kuwapita walinzi wa Ankara Sekerspor na kumkuta Kizza ambaye alipiga shuti liliomgonga mlinzi wa Ankara Sekerspor wakati akiokoa na kujaa wavuni.

Mpaka dakika 90 za mchezo zinamalizika, Ankara Sekerspor 0 -3 Young Africans.

Mara baada ya mchezo kaimu kocha mkuu wa Young Africans Charles Boniface Mkwasa alisema anashukuru vijana wake walicheza vizuri kwa kufuata malekezo na ndio maana wakaweza kupata ushindi huo,makosa yapo machache yaliyojitokeza na ataendelea kuyafanyia kazi.

"Mechi ilikua ni nzuri ukizingatia ndo mchezo wetu wa kwanza wa kirafiki tukiwa na siku ya tatu tangu tufike hapa Uturuki, kwa mazoezi ya jana vijana wameosha mabadiliko na leo wameweza kucheza vizuri na kuweza kupata ushindi, kikubwa naamini kwa siku zilizobakia nitaendelea kufanya marekebisho na kukifanya kikosi kuendelea kuwa bora pindi kitaporejea nchini tayari kwa mzunguko wa pili wa Lig Kuu ya Vodacom" alisema Mkwasa

Kikosi cha Young Africans kilichocheza leo ni:
1.Juma Kaseja/Ally Mustafa "Barthez" (dkk 65), 2.Juma Abdul, 3.Oscar Joshua/David Luhende(dkk 82), 4.Mbuyu Twite (C), 5.Kelvin Yondani, 6.Frank Domayo/Ibrahim Job(dkk 80), 7.Haruna Niyonzima/Saimon Msuva (dkk72), 8.Hassan Dilunga/Nizar Khalfan (dkk 58), 9.Didier Kavumbagu/Hamis Kizza (dkk 58), 10.Mrisho Ngasa/Jerson Tegete (dkk 68), 11. Emmanuel Okwi/Said Bahanuzi

Credits: Global publishers Tanzania

tuwekee na kikosi cha timu mliyocheza nayo tujilidhishe
 
fact gani unazoongea wewe?mbona mlivunja bench la ufundi kwa kichapo cha simba pale taifa?alafu unakuja kuzungumza utumbo humu,elewa soka tz bado sana
I see.....

Ni kwa nini Patrick Liehwig na baadae Abdallah Kibaden, Jamhuri Kihwelu na James Kisaka waliondolewa Simba na kupeleka ujio wa Logaloga, Selemani Matolla na Idd Pazzi?
 
Young Africans imeanza vizuri katika kambi yake ya mafunzo nchini Uturuki baada ya kuifunga timu ya Ankara Sekerspor kwa mabao 3-0 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika pembeni kidogo ya eneo ililofikia katika mji wa Manavgat Antalya.
Kocha wa Young Africans aliwatumia wachezaji 18 jumla katika mchezo huo ambao wenyeji mara baada ya mchezo walimpongeza kwa timu yake kwa kucheza vizuri katika mchezo huo wa kirafiki.
Dakika ya 10 ya mchezo shuti lililopigwa na mganda Emmanuel Okwi lilishinda mlinda mlango wa Ankara Sekerspor ambapo aliutema mpira huo na kumkuta Didier Kavumbagu aliyeukwamisha mpira huo wavuni na kuhesabu bao la kwanza.
Timu zote ziliendelea kushambuliana kwa zamu na mpaka dakika 45 za kipindi cha kwanza zinamalizika, Ankara Sekerspor 0 - 1 Young Africans.
Kipindi cha pili kilianza kwa kasi na iliwachukua dakika moja Young Africans kujipatia bao la pili la mchezo kupitia kwa Emmanuel Okwi aliyeitumia vyema pasi ya mwisho ya kiungo Mrisho Ngasa aliywatoka walinzi wa Ankara Sekaspor na kumpasia mfungaji ambaye hakufanya makosa na kuukwamisha mpira wavuni.
Dakika ya 58 kocha Mkwasa alifanya mabadiliko, ambapo waliingia Hamis Kizza na Nizar Khalfani kuchukua nafasi za Didier Kavumbagu na kiungo Hassan Dilunga.
Hamis Kizza aliipatia Young Africans bao tatu la mchezo na la ushindi dakika ya 61 ya mchezo baada mpira aliogongewa na Domayo kuwapita walinzi wa Ankara Sekerspor na kumkuta Kizza ambaye alipiga shuti liliomgonga mlinzi wa Ankara Sekerspor wakati akiokoa na kujaa wavuni.

Mpaka dakika 90 za mchezo zinamalizika, Ankara Sekerspor 0 -3 Young Africans.

Mara baada ya mchezo kaimu kocha mkuu wa Young Africans Charles Boniface Mkwasa alisema anashukuru vijana wake walicheza vizuri kwa kufuata malekezo na ndio maana wakaweza kupata ushindi huo,makosa yapo machache yaliyojitokeza na ataendelea kuyafanyia kazi.

"Mechi ilikua ni nzuri ukizingatia ndo mchezo wetu wa kwanza wa kirafiki tukiwa na siku ya tatu tangu tufike hapa Uturuki, kwa mazoezi ya jana vijana wameosha mabadiliko na leo wameweza kucheza vizuri na kuweza kupata ushindi, kikubwa naamini kwa siku zilizobakia nitaendelea kufanya marekebisho na kukifanya kikosi kuendelea kuwa bora pindi kitaporejea nchini tayari kwa mzunguko wa pili wa Lig Kuu ya Vodacom" alisema Mkwasa

Kikosi cha Young Africans kilichocheza leo ni:
1.Juma Kaseja/Ally Mustafa "Barthez" (dkk 65), 2.Juma Abdul, 3.Oscar Joshua/David Luhende(dkk 82), 4.Mbuyu Twite (C), 5.Kelvin Yondani, 6.Frank Domayo/Ibrahim Job(dkk 80), 7.Haruna Niyonzima/Saimon Msuva (dkk72), 8.Hassan Dilunga/Nizar Khalfan (dkk 58), 9.Didier Kavumbagu/Hamis Kizza (dkk 58), 10.Mrisho Ngasa/Jerson Tegete (dkk 68), 11. Emmanuel Okwi/Said Bahanuzi

Credits: Global publishers Tanzania

Wamecheza na Madereva wa Teksi na Wahudumu wa Hoteli Waliyofikia na Inanikumbusha Taifa Stars ile Ya Maximo ambayo ilienda Ziara Nchini Brazil na Ikacheza Mechi Ya Kisiri na Wafagizi wa Barabara za Rio De Jeneiro Tukapigwa 9 - 0 na Baadae Tukacheza na Wazibua Vyoo Mjini Tukapigwa 11 - 1 na Mwisho Tukacheza na Wavuvi wa Beach Yao Kubwa Ya Copa Cabana na Tukachezea 17 - 2.
 
Yanga Punda wa madawa....huko siajabu wamepelekwa kupeleka madawa...haya mambo yalianza zaman sana enz za akina gulamali....sasa yamerud tena....
 
Yaleyale.......

Ragephobia na Dalaliphobia.....

Kuapa kumpa 'kichapo' Yanga bila kuwa na maono ya mbeleni.....

Akili ya uongozi wa Timu na mashabiki inakuwa kwenye 'kumchapa' Yanga badala ya kufikiria kuchukua Ubingwa......

No wonder Simba iko nafasi ya 4 na Yanga iko kileleni.....
Mkuu heri ya mwaka kwanza.

Sina shaka sana na timu yako, lkn ata wewe binafsi sizani kama inakuingia akilini Timu kufanyishwa mazoezi kwenye mazingira ya baridi ili hali Ligi inatarajiwa kuchezwa kwenye mazingira ya Joto.

Ninavyojua akina Yondani et al, wakianza kuchemsha uwanjani atatafutwa mchawi.
 
Wangecheza na Galatasaray maana zikutane timu zinazocheza ligi kuu kwao. Mnacheza na timu ya ndondo halafu mnasumbua humu.

Uturuki ni ya 43 na TZ ni ya 120 pale FIFA. VPL unafikiri iko sawa na ligi kuu ya Uturuki? Unafikiri mshahara wa rais wa Marekani ni sawa na ule wa rais wa TZ. Kajifunze maana ya maneno haya.
 
Yaleyale.......

Ragephobia na Dalaliphobia.....

Kuapa kumpa 'kichapo' Yanga bila kuwa na maono ya mbeleni.....

Akili ya uongozi wa Timu na mashabiki inakuwa kwenye 'kumchapa' Yanga badala ya kufikiria kuchukua Ubingwa......

No wonder Simba iko nafasi ya 4 na Yanga iko kileleni.....

Kichapo kipo pale pale, no way out! Nendeni hata mkitaka mwezini. Lakini mkirudi U/Taifa au Shamba la Bibi ni kichapo tu toka kwa mnyama kinawasubiri
 
Halafu baada ya kichapo......Mtakuwa mmechukua na ubingwa right?....

Simba bana.....Sio kosa lako, ni kosa la Rage aliyewaharibu
 
Mkuu heri ya mwaka kwanza.

Sina shaka sana na timu yako, lkn ata wewe binafsi sizani kama inakuingia akilini Timu kufanyishwa mazoezi kwenye mazingira ya baridi ili hali Ligi inatarajiwa kuchezwa kwenye mazingira ya Joto.

Ninavyojua akina Yondani et al, wakianza kuchemsha uwanjani atatafutwa mchawi.

Msimu uliopita walifanyia mazoezi kwenye baridi afu wakabeba ndoo kwenye joto!
 
ujinga mtupu hawa waliocheza nao ni wapishi wa hotel waliofikia kiukweli yanga wanasikitiaha kukubali kutumika kama punda kusafilisha madawa ya manji...

Hallo, Hallooo...! Sijakupata vizuri...unasema yanga wamekubali kuwa punda kusafirisha madawa ya manji...madawa ya aina gani mkuu...yakutibu maradhi baridi!? maana nasikia Ankara ni baridi kwa sasa.
 
Wanasimba fungueni uzi wa fainali ya bonanza la Mapinduzi, sie tunayo mengi ya kuchangia hapo.
Tunachukua ndoo leo!njoo ulete utabiri kule mara ya mwisho tulitoka Suruu na KCC njoo ulete hesabu za Ckweens
 
Back
Top Bottom