Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
WAWAKILISHI wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho, Yanga, wamefungwa na TP Mazembe bao 1-0, tena nyumbani.
Ni mechi ya pili mfululizo baada ya kupokea kipigo kama hicho ugenini kwa MO Bejaia ya Algeria Juni 20, mwaka huu, hivyo kuendelea kuburuza mkia kwenye Kundi A la michuano hiyo.
Kipigo hicho cha nyumbani jana Jumanne, Juni 28, kinamaanisha kwamba mabingwa hao wa soka Tanzania Bara pamoja na Kombe la Shirikisho....
Soma zaidi hapa => Yanga yabaki na pointi 6 tu Kombe la Shirikisho | Fikra Pevu