K KISIWAGA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 8,021 Reaction score 16,591 Sep 19, 2021 #1 Hivi eti kuna siri gani ya wasukuma wengi kuwa mashabiki wa Yanga ?
P permanides JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 12,333 Reaction score 15,049 Sep 19, 2021 #2 KISIWAGA said: Hivi eti kuna siri gani ya wasukuma wengi kuwa mashabiki wa Yanga ? Click to expand... Wanajitambua
KISIWAGA said: Hivi eti kuna siri gani ya wasukuma wengi kuwa mashabiki wa Yanga ? Click to expand... Wanajitambua
fimboyaasali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 8,606 Reaction score 8,264 Sep 19, 2021 #3 KISIWAGA said: Hivi eti kuna siri gani ya wasukuma wengi kuwa mashabiki wa Yanga ? Click to expand... Kwani hujukiulizi kwanini,polisi na wanajeshi wote ni yanga? Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
KISIWAGA said: Hivi eti kuna siri gani ya wasukuma wengi kuwa mashabiki wa Yanga ? Click to expand... Kwani hujukiulizi kwanini,polisi na wanajeshi wote ni yanga? Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
1884 Senior Member Joined Aug 28, 2021 Posts 118 Reaction score 191 Sep 19, 2021 #4 Wasukuma wengi ni wafugaji Wamewahi kutana na vurugu za Simba pori
K KISIWAGA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 8,021 Reaction score 16,591 Sep 19, 2021 Thread starter #5 1884 said: Wasukuma wengi ni wafugaji Wamewahi kutana na vurugu za Simba pori Click to expand... Hili nalo neno
1884 said: Wasukuma wengi ni wafugaji Wamewahi kutana na vurugu za Simba pori Click to expand... Hili nalo neno
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,281 Reaction score 24,064 Sep 19, 2021 #6 Sio kweli Simba na Yanga usukumani wapo 50/50,mikoa ya kusini ndo inaongoza kwa kuwa na mashabiki wengi wa Yanga.Lindi,Mtwara,Ruvuma huko kote wametapakaa Yanga.
Sio kweli Simba na Yanga usukumani wapo 50/50,mikoa ya kusini ndo inaongoza kwa kuwa na mashabiki wengi wa Yanga.Lindi,Mtwara,Ruvuma huko kote wametapakaa Yanga.
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,341 Sep 19, 2021 #7 KISIWAGA said: Hivi eti kuna siri gani ya wasukuma wengi kuwa mashabiki wa Yanga ? Click to expand... Kwa sababu wasukuma wengi ni washamba,washamba wanajuana
KISIWAGA said: Hivi eti kuna siri gani ya wasukuma wengi kuwa mashabiki wa Yanga ? Click to expand... Kwa sababu wasukuma wengi ni washamba,washamba wanajuana