Nilijuaa una KAELIMU KADOGOHuko Jangwani kasajiliwa Mchezaji Mghana Bernad Morrison aliyewahi kuchezea Orlando Pirates chini ya Kocha Micho. Kinachoongelewa zaidi ni tabia za Mchezaji huyo kuwahi kushiriki matukio ya kihalifu alipokuwa Afrika kusini ikiwemo kukamatwa na Magari ya Wizi hatua iliyofanya awekwe Korokoroni huko bondeni hatua iliyoifedhehesha timu yake na hatimaye kumpiga chini.
Sasa huyo Kibaka baada ya kukosa timu kwa muda mreefu kwa tabia zake hizo za Udokozi katua kwenye Vyura FC. Sina budi kumkumbusha Kamanda Mambo sasa kuanza kufuatilia vema mtandao wa huyu jamaa kabla mabaya hayajatokea kwa Watanzania Wapenda amani. Jasiri haachi asili, Shetani haji kuwa malaika.
View attachment 1324163
BWEGE HUYU ANAULIZWA HUKUMU ANAJIBU UHAROOSi amekamatwa (arrested) tu? Bila ya shaka kama angefungwa kabisa usingeshindwa kuwasilisha. Sasa kumbuka kuwa mfungaji bora wa Kombe la Dunia 1982 alikuwa mfungwa kabisa. Alitolewa gerezani baada ya mwalimu wa Timu ya Taifa, Bruno Conti, kulalamika kwamba hana matumaini ya timu kufanya vizuri bila ya Rossi. Iambie na dunia basi kuhusu hilo.
Mkuuu tuleteee matokeo ya Vyura na Kagera. Naskia mnaleta huyo kibaka ili awe anaiba magoli na timu pinzani na kuyaleta JangwaniTOKA WAFUNGWE KILAMMTU MAFIA
YANGA MAFIA
NAHUYU MCHEZAJI NAE MAFIA AISEE
MAFIOSOSTO
Wezi wa matikiti wanasajili mwizi wa magari?? Wezi FCHuko Jangwani kasajiliwa Mchezaji Mghana Bernad Morrison aliyewahi kuchezea Orlando Pirates chini ya Kocha Micho. Kinachoongelewa zaidi ni tabia za Mchezaji huyo kuwahi kushiriki matukio ya kihalifu alipokuwa Afrika kusini ikiwemo kukamatwa na Magari ya Wizi hatua iliyofanya awekwe Korokoroni huko bondeni hatua iliyoifedhehesha timu yake na hatimaye kumpiga chini.
Sasa huyo Kibaka baada ya kukosa timu kwa muda mreefu kwa tabia zake hizo za Udokozi katua kwenye Vyura FC. Sina budi kumkumbusha Kamanda Mambo sasa kuanza kufuatilia vema mtandao wa huyu jamaa kabla mabaya hayajatokea kwa Watanzania Wapenda amani. Jasiri haachi asili, Shetani haji kuwa malaika.
View attachment 1324163
Sasa Bongo aibe mitumba ya kijapani mileage 300,000 km ???South Africa wageni wote wezi tu na drug dealersKlabu yake ilikaa meza moja na aliyekuwa amefanyiwa Uhalifu wa kuibiwa Gari na Fedha, akalipwa chake akaenda Mahakamani kuiondoa kesi. Lkn huyu mchezaji na genge lake walipigwa ban huko South baada ya hii kesi kumalizwa kibabe au kimjini mjini.
Ungekua unakijua kizulu ningekupa Charts za Mashabiki wa Pirate baada ya hili tukio ungenielewa. Nimeleta kama tahadhari kwetu sote na sio Ushabiki, ni kitu cha kweli kimetokea.
Soma mtandao wa soka wa SA www.soccerladuma.co.za
tafuta huu mkasa wake utaupata kwa kina.
Tatizo la mbumbumbu ni kudandia treni kwa mbele.Huko Jangwani kasajiliwa Mchezaji Mghana Bernad Morrison aliyewahi kuchezea Orlando Pirates chini ya Kocha Micho. Kinachoongelewa zaidi ni tabia za Mchezaji huyo kuwahi kushiriki matukio ya kihalifu alipokuwa Afrika kusini ikiwemo kukamatwa na Magari ya Wizi hatua iliyofanya awekwe Korokoroni huko bondeni hatua iliyoifedhehesha timu yake na hatimaye kumpiga chini.
Sasa huyo Kibaka baada ya kukosa timu kwa muda mreefu kwa tabia zake hizo za Udokozi katua kwenye Vyura FC. Sina budi kumkumbusha Kamanda Mambo sasa kuanza kufuatilia vema mtandao wa huyu jamaa kabla mabaya hayajatokea kwa Watanzania Wapenda amani. Jasiri haachi asili, Shetani haji kuwa malaika.
View attachment 1324163
Yaaani hilo siyo la kuuuliza ni suala la muda tu.Yanga ikae makini na huyu msela, wakimzingua mshahara wake tu atasepa na basi lile la timu hata kama ni mchuzi juu
Mkuu leteni Bokoharam kabisaMoral Of Story : Mafia Sio Mtu Mzuri.
Msimu Ujao Tunaongeza Mtaliban.
We Ngoja Tu.Mkuu leteni Bokoharam kabisa
Anajibu maombiiii x12....cha nguruwe jiji kimyaaaNyie jiteeteeni lkn huko kuzomewa kwa huyo mghana kutakuwa siyo kwa Nchi hii pale Taifa, mwaka huu ataitwa majina yoote ya Kihalifu mnaloooo
Yes, ni kweli huyu Paulo Rossi alishitakiwa mwaka1982 akituhumiwa kujihusisha ktk "Betting Scandal" na akaombewa ruhusa maalum atoke jela ili akatumikie taifa lake, Italy kwenye World Cup mwaka huo kule nchini Spain.Si amekamatwa (arrested) tu? Bila ya shaka kama angefungwa kabisa usingeshindwa kuwasilisha. Sasa kumbuka kuwa mfungaji bora wa Kombe la Dunia 1982 alikuwa mfungwa kabisa. Alitolewa gerezani baada ya mwalimu wa Timu ya Taifa, Bruno Conti, kulalamika kwamba hana matumaini ya timu kufanya vizuri bila ya Rossi. Iambie na dunia basi kuhusu hilo.
Huko Jangwani kasajiliwa Mchezaji Mghana Bernad Morrison aliyewahi kuchezea Orlando Pirates chini ya Kocha Micho. Kinachoongelewa zaidi ni tabia za Mchezaji huyo kuwahi kushiriki matukio ya kihalifu alipokuwa Afrika kusini ikiwemo kukamatwa na Magari ya Wizi hatua iliyofanya awekwe Korokoroni huko bondeni hatua iliyoifedhehesha timu yake na hatimaye kumpiga chini.
Sasa huyo Kibaka baada ya kukosa timu kwa muda mreefu kwa tabia zake hizo za Udokozi katua kwenye Vyura FC. Sina budi kumkumbusha Kamanda Mambo sasa kuanza kufuatilia vema mtandao wa huyu jamaa kabla mabaya hayajatokea kwa Watanzania Wapenda amani. Jasiri haachi asili, Shetani haji kuwa malaika.
View attachment 1324163
Daaah huyo jamaa naona kama sooon atatakiwa na Vigogo wa soka Afrika kwa kiwango chake sio siri.