Kheri ya kibaka kuliko mlozi.Huko Jangwani kasajiliwa Mchezaji Mghana Bernad Morrison aliyewahi kuchezea Orlando Pirates chini ya Kocha Micho. Kinachoongelewa zaidi ni tabia za Mchezaji huyo kuwahi kushiriki matukio ya kihalifu alipokuwa Afrika kusini ikiwemo kukamatwa na Magari ya Wizi hatua iliyofanya awekwe Korokoroni huko bondeni hatua iliyoifedhehesha timu yake na hatimaye kumpiga chini.
Sasa huyo Kibaka baada ya kukosa timu kwa muda mreefu kwa tabia zake hizo za Udokozi katua kwenye Vyura FC. Sina budi kumkumbusha Kamanda Mambo sasa kuanza kufuatilia vema mtandao wa huyu jamaa kabla mabaya hayajatokea kwa Watanzania Wapenda amani. Jasiri haachi asili, Shetani haji kuwa malaika.
View attachment 1324163
Mkuuu ile ni bima ya Afya siyo vinginevyo. Mwafrika na Uchawi ni kaka pete na kidole. Hapa JF penyewe waweza kuta nusu ya members wana hirizi halafu Wooote wana Challe za Uganga.
Hapo kuna walakini fuatilieni mtandao huo
Huko Jangwani kasajiliwa Mchezaji Mghana Bernad Morrison aliyewahi kuchezea Orlando Pirates chini ya Kocha Micho. Kinachoongelewa zaidi ni tabia za Mchezaji huyo kuwahi kushiriki matukio ya kihalifu alipokuwa Afrika kusini ikiwemo kukamatwa na Magari ya Wizi hatua iliyofanya awekwe Korokoroni huko bondeni hatua iliyoifedhehesha timu yake na hatimaye kumpiga chini.
Sasa huyo Kibaka baada ya kukosa timu kwa muda mreefu kwa tabia zake hizo za Udokozi katua kwenye Vyura FC. Sina budi kumkumbusha Kamanda Mambo sasa kuanza kufuatilia vema mtandao wa huyu jamaa kabla mabaya hayajatokea kwa Watanzania Wapenda amani. Jasiri haachi asili, Shetani haji kuwa malaika.
View attachment 1324163
Kama ni hivyo basi angehukumiwa na mahakama ya huko. Hapa hapa bongo, Juzi kuna mtu alikamatwa na wizi wa gari na baada ya uchunguzi ikaonekana kuwa gari hiyo ameinunua kihalali kwa agent ila kwa tamaa huyo agent akamwambia mwenye gari kuwa imeibiwa.Huko Jangwani kasajiliwa Mchezaji Mghana Bernad Morrison aliyewahi kuchezea Orlando Pirates chini ya Kocha Micho. Kinachoongelewa zaidi ni tabia za Mchezaji huyo kuwahi kushiriki matukio ya kihalifu alipokuwa Afrika kusini ikiwemo kukamatwa na Magari ya Wizi hatua iliyofanya awekwe Korokoroni huko bondeni hatua iliyoifedhehesha timu yake na hatimaye kumpiga chini.
Sasa huyo Kibaka baada ya kukosa timu kwa muda mreefu kwa tabia zake hizo za Udokozi katua kwenye Vyura FC. Sina budi kumkumbusha Kamanda Mambo sasa kuanza kufuatilia vema mtandao wa huyu jamaa kabla mabaya hayajatokea kwa Watanzania Wapenda amani. Jasiri haachi asili, Shetani haji kuwa malaika.
View attachment 1324163
Nyie jiteeteeni lkn huko kuzomewa kwa huyo mghana kutakuwa siyo kwa Nchi hii pale Taifa, mwaka huu ataitwa majina yoote ya Kihalifu mnalooooView attachment 1324164
Mwenyekiti wenu wazamani Rage unajua alihukumiwa Jela? Kwenye maisha unaweza kutana na jambo lolote inaweza kuwa kweli au kusingiziwa.
Ungeanza kwanza na roporopo wenu.....
Gooogle usome zaidi, alikuwa akimiliki genge la Uhalifu. Hiyo taarifa imefipishwa zaidi na kufanyiwa filtering kwa kifupi jamaa alikuwa temboo kule SA. Hayo mambo ya kutofungwa Klabu inajua ilifanya nini yenyeweKama ni hivyo basi angehukumiwa na mahakama ya huko. Hapa hapa bongo, Juzi kuna mtu alikamatwa na wizi wa gari na baada ya uchunguzi ikaonekana kuwa gari hiyo ameinunua kihalali kwa agent ila kwa tamaa huyo agent akamwambia mwenye gari kuwa imeibiwa.
Ina maana klabu yake ilizuia mahakama isifanye kazi yake????Gooogle usome zaidi, alikuwa akimiliki genge la Uhalifu. Hiyo taarifa imefipishwa zaidi na kufanyiwa filtering kwa kifupi jamaa alikuwa temboo kule SA. Hayo mambo ya kutofungwa Klabu inajua ilifanya nini yenyewe
Akili kichwani mwako, nimekwambia google ulete majibuIna maana klabu yake ilizuia mahakama isifanye kazi yake????
Wewe ndiyo source yangu leta habari timilifu humu jamvini.Akili kichwani mwako, nimekwambia google ulete majibu
Klabu yake ilikaa meza moja na aliyekuwa amefanyiwa Uhalifu wa kuibiwa Gari na Fedha, akalipwa chake akaenda Mahakamani kuiondoa kesi. Lkn huyu mchezaji na genge lake walipigwa ban huko South baada ya hii kesi kumalizwa kibabe au kimjini mjini.Wewe ndiyo source yangu leta habari timilifu humu jamvini.
Si amekamatwa (arrested) tu? Bila ya shaka kama angefungwa kabisa usingeshindwa kuwasilisha. Sasa kumbuka kuwa mfungaji bora wa Kombe la Dunia 1982 alikuwa mfungwa kabisa. Alitolewa gerezani baada ya mwalimu wa Timu ya Taifa, Bruno Conti, kulalamika kwamba hana matumaini ya timu kufanya vizuri bila ya Rossi. Iambie na dunia basi kuhusu hilo.Huko Jangwani kasajiliwa Mchezaji Mghana Bernad Morrison aliyewahi kuchezea Orlando Pirates chini ya Kocha Micho. Kinachoongelewa zaidi ni tabia za Mchezaji huyo kuwahi kushiriki matukio ya kihalifu alipokuwa Afrika kusini ikiwemo kukamatwa na Magari ya Wizi hatua iliyofanya awekwe Korokoroni huko bondeni hatua iliyoifedhehesha timu yake na hatimaye kumpiga chini.
Sasa huyo Kibaka baada ya kukosa timu kwa muda mreefu kwa tabia zake hizo za Udokozi katua kwenye Vyura FC. Sina budi kumkumbusha Kamanda Mambo sasa kuanza kufuatilia vema mtandao wa huyu jamaa kabla mabaya hayajatokea kwa Watanzania Wapenda amani. Jasiri haachi asili, Shetani haji kuwa malaika.
View attachment 1324163
Lazima Watanzania waelewe tabia zake yasije kujirudia ya SA. Kama ni mazuri yasemwe na kama ni mabaya pia ni vema tutahadharishane siyo kwa ubaya.Si amekamatwa (arrested) tu? Bila ya shaka kama angefungwa kabisa usingeshindwa kuwasilisha. Sasa kumbuka kuwa mfungaji bora wa Kombe la Dunia 1982 alikuwa mfungwa kabisa. Alitolewa gerezani baada ya mwalimu wa Timu ya Taifa, Bruno Conti, kulalamika kwamba hana matumaini ya timu kufanya vizuri bila ya Rossi. Iambie na dunia basi kuhusu hilo.
Nyie jiteeteeni lkn huko kuzomewa kwa huyo mghana kutakuwa siyo kwa Nchi hii pale Taifa, mwaka huu ataitwa majina yoote ya Kihalifu mnaloooo
Tabia za kuzushiwa? Za kushindwa kutofautisha baina ya kukamatwa na kutiwa hatiani? Za kushindwa kujua kanuni ya msingi ya haki ya mwanadamu ya ‘innocent until proven guilty (by the relevant legal system)? Ya kushindwa kufuatilia kwa undani na kubaini kwamba alinunua kihalali gari lililokuwa limeporwa? Give me and fellow JF serious members a break!Lazima Watanzania waelewe tabia zake yasije kujirudia ya SA. Kama ni mazuri yasemwe na kama ni mabaya pia ni vema tutahadharishane siyo kwa ubaya.
Ghanaian footballer Bernard Morrison, who plays for Orlando Pirates, has been arrested in South Africa for being in possession of a stolen car and he is facing charges of robbery.Lazima Watanzania waelewe tabia zake yasije kujirudia ya SA. Kama ni mazuri yasemwe na kama ni mabaya pia ni vema tutahadharishane siyo kwa ubaya.
Soma post no 13 nimeweka link ufuatilie mwenyewe utapata majibu. Kessi yake iliondolewa mahakamani baada ya maelewano ya kimjini mjini na mshitaki. Acheni kujadili hojja kishabiki tuijadili kwa mawanda mapana tatizo mmejaza toppe kwenye Vichwa vyenu nyie akili nenu zoote ameondoka nazo Mzeee Akilimali mweeeMtoa hoja umeitoa kama waandishi wa gazeti la TAZAMA,kisheria elewa kuwa upo innocent until proven quilty by court of law,sasa kama kesi hii au tuhuma hizi hazikuthibitishwa mahakamani na kuhukumia huyu jamaa ni innocent ,mtoa hoja acha kuwa na roho mbaya always FACTS zibakie hivyo,na kama alihukumiwa basi huyu jamaa ana criminal records against his name kwa hiyo asingeweza kupata usajili unless President wa nchi he pardon him.