Yanga wamemnunua wapi Okwi?

Mhh, jamaa una hatari! Mtu kutokupewa mshahara wa miezi sita huoni tatizo? Mkataba huvunjwa hata ukicheleweshwa kwa siku moja nje ya makubaliano ya mkataba wenu, Sembuse miezi 6? Hiyo miezi kadhaa bila mshahara utakula polisi?
 
Mhh, jamaa una hatari! Mtu kutokupewa mshahara wa miezi sita huoni tatizo? Mkataba huvunjwa hata ukicheleweshwa kwa siku moja nje ya makubaliano ya mkataba wenu, Sembuse miezi 6? Hiyo miezi kadhaa bila mshahara utakula polisi?

Mkuu, huyo mdau anawakilisha kundi kubwa la misukule.
 

Wazee wa mechi 5 point 2 mnazidi kujidhalilisha.
 

kama manji na Kleb wanaivuruga Yanga, RAGE anaifanya nini Simba. Mbona Okwi anawasumbua akili hivyo hadi mnapoteza busara kabisa?
Hivi wewe ni mfanyakazi au kibarua? Hupo dunia gani ndugu yangu? kweli ktk dunia hii unashangaa mkataba wa kazi kuvunjwa sababu muajiriwa hajalipwa miezi sita?
Namashaka wewe ni muajiriwa wa mhindi tena mfanyakazi wa nyumbani ndio maana mambo ya mikataba na wewe ni mbalimbali., hata usipolipwa miezi sita kwako sawa tu unaendelea na kazi kisa kupata ajira ni vigumu sana siku hizi.

Funguka macho kaka jielimishe kuhusu mikataba hususan mikataba ya ajira maana ktk upande huo kuna tatizo.
 
Kwa kuandika tu wewe ndiyo beki tatu, sina haja ya kuendelea kubishana na wewe. Huna hadhi ya kujibiwa na mimi, unalazimisha kupata jina kupitia kwangu, sahau!!!!!

Nina majukumu mengi ya kitaifa.
 
Mkuu hivi magoli ya kusawazisha hayamo kwenye kanuni 17 za soka?

Mkuu ni kweli, hayo ni magoli halali. Hata hivyo unapotoka nyuma na kusawazisha ni dalili kuwa performance ya timu siyo nzuri hasa inapotokea kuwa mechi 2 umepoteza na mechi 2 umetoa sare kwa kusawazisha. Ni hayo tu Mkuu wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…