Yanga wako wapi?

Magnificient

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,177
Reaction score
734
Jamaa wapatao kumi walipewa ofa ya kupelekwa mbuga za wanyama, tour guide akawatembeza maeneo mbalimbali na kuwaonesha wanyama mbalimbali kama vile simba, twiga, tembo, fisi, nyati, nyani, pundamilia n.k. Walipokaribia kumaliza akawauliza:
Tour guide: Haya jamani tunakaribia mwisho wa safari yetu, kuna mtu mwenye swali?
Jamaa mmoja: Mbona tumeona simba tu baba, yanga wapo wapi?
Watu wote hoi kwa kicheko!!!
 
Kwani Yanga wanaishi porini.........hahahaaah!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…