Ndio maana mpaka leo Matokeo ya mechi hiyo hayajaripotiwa!! Kweli yebo ni yebo tu.Jana niliwasiliana na mchezaji mmoja wa Yanga alieko Uturuki ambae ni jirani yangu kaniambia walifungwa 7-1 na timu moja ya huko siku ya jumatano ila waliambiwa wasiseme na waandishi wa habari waliambatana na timu wametakiwa wasiripoti. Soka yetu tunamdanganya nani?
hizi habari huenda ni utani tu wa Simba na Yanga, nilizisikia hata mm wengine wanasema 7-0, wengine wanasema ni safari ile ya kwanza wengine ni safari hii, nadhani ni uzushi tu
aibu tupu (.... ila huu ndiyo uwezo wa Yanga../ila hongereni angalau kwa kufunga goli moja)
Hata wewe umeingia mkenge na kuiamini taarifa ya mwendawazimu!.....
Unatia aibu mkuu wangu....
Hata wewe umeingia mkenge na kuiamini taarifa ya mwendawazimu!.....
Unatia aibu mkuu wangu....
Umeambiwa mechi ya 7-1 ilichezwa Jumatano, sio hiyo mechi ya juzi dhidi ya Kulafutari, sijui FlamurtariMimi si sima damu na nimepitia Page ya Flamurtari na nimeona matokeo ni bila bila sasa sijui kama jamaa wanaweza wadanganya washabiki wao wakati wameshinda, ...
umeniongezea siku mkuu kwa hiyo kulafutari mbavu sina.Umeambiwa mechi ya 7-1 ilichezwa Jumatano, sio hiyo mechi ya juzi dhidi ya Kulafutari, sijui Flamurtari
Jana niliwasiliana na mchezaji mmoja wa Yanga alieko Uturuki ambae ni jirani yangu kaniambia walifungwa 7-1 na timu moja ya huko siku ya jumatano ila waliambiwa wasiseme na waandishi wa habari waliambatana na timu wametakiwa wasiripoti. Soka yetu tunamdanganya nani?
Mambo ya kufungwa goli saba hata kama ni ya kweli poa tu.subirin moto kwenye ligi ndipo mtabaini ukweli.
Jana niliwasiliana na mchezaji mmoja wa Yanga alieko Uturuki ambae ni jirani yangu kaniambia walifungwa 7-1 na timu moja ya huko siku ya jumatano ila waliambiwa wasiseme na waandishi wa habari waliambatana na timu wametakiwa wasiripoti. Soka yetu tunamdanganya nani?
Umeambiwa mechi ya 7-1 ilichezwa Jumatano, sio hiyo mechi ya juzi dhidi ya Kulafutari, sijui Flamurtari