ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Kaze yupo vizuri.Mwalimu mzuri? Dah haya
Kwa usajili wa Fiston na Saido, raia wenzake wa Burundi, upangaji mbovu wa timu nyakati fulani, nk. Inathibitisha kwamba, Huyu kocha si msaada kivile kwa timu yetu.Kaze yupo vizuri.
Hata wachezaji wa kigeni baadhi ni mizigo! Mcheki Fiston, Sarpong, HB wa kireno, hata Tuisila sio yule wa Vita! Mpaka nawakumbuka kina Molinga, Sibomana, Balinya hata Anko Mrisho! Tuzidi kuisapoti timu naamini mambo yatakuwa sawa na Inshaalah tutachukua ubingwa!
Ubingwa sidhani msubili labda mwaka keshoHata wachezaji wa kigeni baadhi ni mizigo! Mcheki Fiston, Sarpong, HB wa kireno, hata Tuisila sio yule wa Vita! Mpaka nawakumbuka kina Molinga, Sibomana, Balinya hata Anko Mrisho! Tuzidi kuisapoti timu naamini mambo yatakuwa sawa na Inshaalah tutachukua ubingwa!
Kuna mwaka Man U na Man city walikuwa wanafukuzia ubingwa wa England! Mpaka dakika ya 91 Man U walikuwa wana uhakika wa kubeba ndoo! Kilichotokea hawaamini hadi leo! Ndugu zangu mchezo wa soka hautabiliki, wekeni akiba ya maneno! Bado mechi ni nyingi sana!Ubingwa sidhani msubili labda mwaka kesho
Wameshapigwa leo hakuna cha ubingwa zaidi ya ubingwa wa mapinduziLabda Yanga princess inaweza kuwasaidia kutwaa ubingwa
unasema hawawezi kumiliki mpira, hawawezi pasi za MTU Kwa MTU,hawawezi V pass halafu bado unaita ni team nzuriHili ndio tatizo namba moja,
Wazawa wote wanaocheza nafasi za viungo na mbele akiwemo na Niyonzima wakubali tu kua viwango vipo chini waondoshwe.
Kwa modern soccer kwa sasa mpira umebadilika mno hebu tuwaangalie kesho timu ya Mamelodi quality yao pale ndipo utakapoona kuwango anachostahili kuwa nacho Yanga.
Jingine ni umiliki wa mpira,tuna tatizo dogo la kupoteza mipira mingi pale tunapopenda sana kutumia mipira ya juu badala ya pasi za mtu kwa mtu pamoja na matumizi ya V pass hili limewashinda kabisa hasa wachezaji wazawa kama Nchimbi na wenzake.
Yanga ipo vizuri, mwalimu mzuri shida ipo hapo tu ambapo tunahitaji uwekezaji mkubwa tuongeze wachezaji ma-pro wazuri makombe tutayazoa mpaka tuseme basi.
Walimu wa kirundi wanacheza sana moira wa kujilindaKaze yupo vizuri.
Ila Jane huyo dada kwenye profile yako ni kisuLabda Yanga princess inaweza kuwasaidia kutwaa ubingwa
Unaweza dhani haya mambo ni ya miaka ya 40 huko. Kumbe juzi tu 2020.. aisee.Uto kama utopolo yaani..View attachment 1718224
Hivi huyu jamaa alipokua anaenda kuleta wachezaji alikua akitumwa na Timu, Gharib au alijiamulia Mwenyewe? I mean nani alikua scout wake?Uto kama utopolo yaani..View attachment 1718224
Ndo mshabiki wa Uto huyo, hapo anajiona bonge la mchambuziunasema hawawezi kumiliki mpira, hawawezi pasi za MTU Kwa MTU,hawawezi V pass halafu bado unaita ni team nzuri