Yanga Vs Polisi Morogoro

Hivi ule CCM Kirumba una taa enh? Mana'ke saa 12 kasoro hii 2nd half haijaanza
 
Mshika kibendera anarushiwa chupa hapa.
 
Mbona yanga wanachelewa kufunga?
 
Nao wameanza kuwa Wazush kama radio one ambao siku hizi hawatangaz kabisa
 
FUUUUUUUULLLLLLLLLLL TIIIIME
>> Ruvu Shooting 0 - 1 Azam FC
K.Tchetche, dk 45
 

simba kimeo watafungwa mpaka msimu uishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…